Ankal Michuzi-
Pole na kazi, hongera na mafanikio yako katika mitikasi mizima ya blog yako ya jamii. Ebwana naomba uwatangazie wadau kwamba ile Blog ya January Makamba
"imefufuka".
Na wadau wanakaribishwa kuchangia katika mada muhimu kuhusu nchi yetu, na sera mbali mbali zitakazosaidia kumuondoa Mtanzania katika umasikini sugu.

Nashukuru kaka-
Thuwein

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante suedi shangtsung

    ReplyDelete
  2. Kumuondoa Mtanzania gani kwenye umasikini, wakati Mzee wenu ndio anawaingiza watanzania kwenye umaskini zaidi kwa sera zake mbovu na kuwatetea mafisadi. Sema globu imerudi kuendeleza kampeni yake ya ubunge hapo tutaelewa.

    ReplyDelete
  3. Kweli ndugu, umaskini utaondoka vipi kwa dhuruma na maushenzi wanayowafanyia Watoto wa Bongo Fleva. Tena kwa kushirikiana na yule Fisadi la Kihaya la pale Clouds. Ruge na Januari nyie mmepata kwa utafutaji wenu,waachane vijana nao waganje njaa kwa juhudi zao, msiwadhurumu. Inauma sana lakini ipo siku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...