supa staa wa tasnia ya filamu steve kanumba (kulia) akiwa na supa staa wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya a.k.a AY jijini Dar. Vijana hawa ni miongoni ya waliofanikiwa sana katika fani zao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HAWA JAMAA INGELIKUWA MAMTONI WANGEKUWA HAWASHIKIKI, NA WANGELIKUWA NA MABAUNSA PEMBENI, LAKINI NDO HIVYO TENA WAKATOKEA KUZALIWA BONGO, YAANI INASIKITISHA SANA.

    KAZENI MISULI WASANII WOTE WA TZ IPO SIKU AU BAADA YA NYINYI WATOTO WENU AU WAJUKUU WENU WATAKUWA NA MAISHA, YA KISUPA STAA

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu bwana mdogo Kanumba ana matatizo gani? Kuvaa naona kuna-mpiga sana chenga. Tulimuona na shati la PINK na sasa kavaa koti la suti na kaacha LEBO yake kwenye mkono, looohhhh. Bro, Mithupu, uwe unawaambia hawa vijana wako kuwa hicho kipande inabidi ukitoe. Ila waambie kwa Kiswahili maana wengine Kimombo chako ambacho ni very richabo kinaweza kikagoma kuwa-RICH'a. Mdau, Sizya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...