mwanamama akiwaelekeza madereva wa mkokoteni wapi pa kupeleka mchele toka Kamsamba ambao nao una umaarufu kama wa Kyela. Hapa ni sehemu za Mwanjelwa, Mbeya, ambako ndiko gulio kuu la mchele ambapo kuna wajasiriamali wengi wa biashara hii na nyinginezo
mchele wa kamsamba

kinamama wakipeta na kuchagua mchele wa kamsamba
baada ya kukoboa mpunga mashineni



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BARAKA ZA MUNGU,MZUNGU HANA HIYO, MPAKA AAGIZE!

    ReplyDelete
  2. Michuzi naomba uniwekee "maharage" ya mbeya, maji mara moja. Machizi wa kijiweni tunayapenda sana, sababu hayachalewi kuwiva lol.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...