Kweli ni eneo safi sana ambalo bado linadumisha mila.
Nani anaweza kutueleza haya majani kwa kihaya yanaitwaje, na kazi yake ni nini? Wachagga watasema ni ya kulishia ng'ombe sio??? Waitu waambieni......
Je na haka kasuruali ka huyu dada ambaye ni mhudumu wa hoteli moja huko Bukoba kanaitwaje? Kweli kutembea ni kuona mengi.
MDAU DEO
MDAU DEO
hiyo suruali inaitwa utajiju
ReplyDeletemichuzi,sasa naona umechoka unatangaza vita dhidi ya HAYA nation
ReplyDeleteacha uchokozi
ReplyDeleteTueleze kwanza maana ya KATERERO, au nyasi na suruali zinauhusiano na maana ya KATERERO?
ReplyDeleteProf. P Nalitolela inabidi atolee ufafanuzi wa hili swala...
ReplyDeletenyegere watu, ni noma, katerero inawakoleza sana kina mama, wahaya wako juuu.
ReplyDeleteHi trouser ya huyo dada maana ni yake ni nyegere waitu.
A TORN PENSE AND CLUSTERS OF GRASSES HAVE NO CONNECTION WITH "KATERERO"WHAT SO EVER.KATERERO SIMPLY MEANS"UGENDE UGARUKE"
ReplyDeleteHizo nyasi ni kwa ajili ya kutandaza ndani ya nyumba hasa kama unatarajia wageni au weekend au kama una sherehe vile
ReplyDeleteDuh Michu, hiki kijiji ndiyo kiel kilichoanzisha kale kamchezo kisha mtu unaanika godoro juu ya nyumba baada ya kazi ama?
ReplyDeleteKETERERO ni sehemu watu wanaenda kununua vitu, tuseme kama vile KARIAKOO. Huwa inaitwa GURIO KATERERO- KARAGWE. Ni sehemu kubwa sana watu huenda kuuza na kununua vitu.
ReplyDeleteHizi ni nyasi kuweka, ndani ya nyumba kukalia kama vile Mikeka. Hizi ni Mila na Desturi za Ki-Haya. Hizi nyasi ni rahini sana. Mtu anazitandika vizuri ndani ya nyumba, ukikaa utafikiri umekalia Godoro. Very very attractive. Kuna nyasi ama majan ya aina nyingi, haya hayaliwi na wanyama. Kwa maelezo zaidi utapata humu kwenye blog.
Kuhusu aka Kasuluali kama mwenzetu alivyowisha sema zinaitwa Utajiju na Chupi zake zipo za Utajiju. Unaambiwa mwanamke akisha weka Hela kwenye Chupi ya Utajiju anaakikisha haitoki hata senti moja. Haya ndo niliyoyapata na mimi nilipoenda likizo.
MDAU BOSTON-MA
Tehetehe, KATERERO! Uuuwi! unaweza kung'atwa!
ReplyDeleteHako Kasuruali kanaitwa PASUA ni JAMBE enzo zetu ilikuwa ndo fasheni
ReplyDeletesuruali inaitwa hipster
ReplyDeleteHata ujenge uweke vigae kwenye nyumba kama mtoa mada alivyojionea, kule vijijini hasa living room ya akina mama, huwa kunawekwa nyasi. Hizi nyasi zinaitwa Kinshwi. Ni mahususi kwa kukalia tu. Huwezi kuezekea wala kulisha ng'ombe. Wakati wa sherehe kama harusi na misiba. Ndani ya tao, badala ya vitu huwa wanatandaza hizi nyasi. Ni laini sana na zina harufu nzuri kama marashi hivi.
ReplyDeleteHiyo sehemu Katerero, zamani kabla na baada ya uhuru hadi miaka ya sabini, huo mji ulikuwa mhimu sana kwa ghulio na wakati mabasi yote toka pande za Kihanja na Ihangiro yalikuwa yakipita, hapo ndo kilikuwa kituo kikubwa cha kupumzikia na kununua mboga (nyama). Kwa sasa mji huo umedorora sababu njia mpya ya kupitia bandari ya Kemondo ilijengwa na pia uchumi wa Kagera umekwenda chini. Kitu kingine ni serikali kukataza kuvua ambapo watu walikuwa wakienda Katerero kununua Samaki. Hivi sasa Mkoa wa Kagera, samaki ni kwa matajiri na hata hao matajiri wa vijijini, hawawezi kupata samaki. Samaki zimehamia Urusi na nchi za ulaya magharibi. Kama mpiga picha alivyoona au kusikia, hata dagaa haipatikani katerero.
Nimetoa historia ya sehemu hiyo, hayo mengine yanayotajwa ni kutokana na neno kutera (kupiga) si sehemu hiyo!!!!!!
Ukitaka kujua maana ya KATERERO olewa na Mwanaume wa Ki-Haya. Kwa maelezo hivi hivi ni vigumu sana kuelewa. FUTA NYUKI ULE ASALI.
ReplyDeleteMDAU- MWANZA
lAKINI WAHAYA WANAJUA KUYAENZI MAPENZI. nAWASIKITIKIA WANAWAKE WA KIHAYA WALIOOLEWA NA MAKABILA KAMA WACHAGGA, WAKURYA N.K. WALIKOSA UHONDO WA KATERERO NA CARE KUTOKA KWA WANAUME. POLENI SAAAAANA. WENZENU WANAFAID
ReplyDeleteHaya majani kweli ni ya kukaliwa nyumbani, au nje kama kuna sherehe au msiba. yako ya aina mbili, haya yanaitwa 'Obugala' yanakatwa kwenye maeneo ya maji (tingatinga) kwenye mmea unaotoa 'kamba' fulani nyeupe za kufungia zawadi (eseisa/esisha). Aina nyingine ya majani
ReplyDeleteambayo ni laini zaidi yanapandwa mbele ya nyumba yanaitwa 'ekinshwi'. Yote hayaliwi na wanyama. Kuhusu MKaterero nijuavyo hilo ni jina tu la sehemu. Umaarufu wake kwa watanzania ulitokana na hadithi ya Siku ya Gulio Katerero, iliyokuwa kwenye kitabu cha Kiswahili darasa la nne, utakumbuka enzi hizo, tulikuwa tunatumia kitabu kimoja shule zote.
Ndugu wala hauna haja ya kuwapa pole wanawake wa kihaya walioolewa na makabila mengine.Maana siku hizi siyo wahaya tu hata wazungu wanaijua hiyo KT.Mimi ni mwanamke wa kihaya nimeolewa na mwanaume wa kabila lingine (mnyamahanga)lakini anaimudu vibaya sana yaani hata sikutegemea.Wanaume wengi wamejifunza siku hizi kama wewe bado haujajifunza unamkosesha uhondo partner wako jitahidi kupata darasa.
ReplyDeleteAsante sana Michuzi kutupatia nafasi hii ili kuweza kutofautisha kijiji cha katerero na maana nyingine iliyozagaa hapa Dar na kwingineko. Mimi nimezaliwa huko Bk lakini tangu utoto wangu mpaka nimekuja Dar nikiwa kidato cha pili nilikuwa najua katerero ni gulio maarufu kutokana na kitabu cha Kiswahili. Ajabu nilipofika hapa Dar nikakuta gumzo kuwa wahaya wanafanya katerero hata ukitamka hilo neno watu wanakushangaa kuwa unasema matusi. Jamani katerero hiyo nyingine mnayozungunziaga haiusiani kabisa na kijiji hicho.
ReplyDeleteAsikudanganye mtu KT tamu jamani!
ReplyDeleteNafunga kibanda changu cha chips nikapate kidogo maana mmenikumbusha.
Jamani, katerero ni neno la kawaida tu kwa maana ya eneo husika, kwetu Bk baba au mama anamtuma mwanae katerero au mtu anazungumza na mkwewe kuhusu kijiji hicho katerero bila shaka kwa maana ya kijiji hicho pia kina gulio kubwa tu maarufu kwa mkoa mzima.
ReplyDeleteAjabu ukitoka Bk. kwenda mikoa mingine basi katerero ni tusi, na watu hawalitamki, wanalitamka kwa aibu kubwa. Huku ni kunyumbulisha maneno tu bila sababu yoyote. Nawaomba temebeeni Bk. mjifunze. Sababu pia kuna maneno mengine ya kimakabila kwa kiswahili hayatafriki vyema, je yasitumike?
Watanzania wazeni maendeleo!!!!!!
Mpigapicha ametunyima taswira ya ziwa victoria, maana ni kama nusu kilomita kutoka kwenye hilo bango unafika ziwani, kuna bichi nzuri saaaanaa zenye mchanga mweupe.
ReplyDeletemiaka ya 90 nilienda pale nikaaa kama siku mbili, nilikutana na msichana mmoja bubu wa umri wa miaka kama 25 hivi alikuwa anifagilia 'katelelo' ile mbaya.sasa akianza kukuelezea kwa vitendo inavyofanyika ungecheka ufe.
Mimi niliwahi kumpeleka 'katelelo' msichana mmoja wa kizungu, palikuwa hapatoshi, baada ya kuchanganyikiwa akanilundikia vitabu vya kusoma ili niende kwao nikasome na kuhamia moja kwa moja, ila kwa uzembe wangu sikutilia maanani.
NKYABO
Mmh mmh! Ebilebi! Hakuna kitu kitamu kama katerero kwa mwanamke na hata kwako mwanaume mpigaji. Mimi sio Mhaya lakini nilifundishwa na mwanamke wangu wa Kihaya zamani kidogo. Nakwambia kila nikipiga kwa demu ananiganda mpaka inabidi simu zake nisipokee na meseji zake nisijibu! Acheni utani na haka kaubunifu jamani, wanawake waliowahi kuionja waseme hapa msikie jamani!
ReplyDeleteWaNGEKUWA WANAJUWA KUTUNZA NA KUJALI HAO WANAWAKE WANGEKUFA NA UKIMWI? NENDENI HUKO. SASA JIULIZE KWANINI HAO WANAWAKE ZAO WANAPENDAK UOLEWA MAKABILA MENGI? KAMA SI WAO WANAUME ZAO HAKUNA KITU.
ReplyDeleteJAMANI MIMI NINAONA SASA BWANA MICHUZI UMECHOKA KABISA! KUNA VITU VINGINE HAVITAKIWA KUANDIKWA KWENYE GLOB YETTU MUHIMU. NI LAZIMA TUJUE KUNA VITU VINGINE AMBAVYO VINAFANYIKA LAKINI HAKUNA BUDI KUVIWEKA WAZI KWANI HIYO NI SIRI ZA WATU. KAMA JINA KATERELO LIPO BASI NI JINA LA SEHEMU FULANI NA HAKUNA HAJA YA KUANZA KUTUELEZA VITU AMBAVYO HATA MDAU YEYOTE AKIVISOMA ATAONA KWELI HAWA WATU HAWANA CHOCHOTE KICHWANI! JAMANI TUJARIBU KUANDIKA VITU AMBAVYO JAMII INAWEZA KUJIFUNZA NA KUFANIKIWA KTK KUENDESHA MAISHA YAKE. HUU NI UPUNGUFU WA KITU FULANI KICHWANI. KWANI NANI ANATAKA AJUE KUWA FULANI KA LALA NA FULANI HALAFU KAFANYA MIUJIZA!
ReplyDeleteNDUGU YANGU MDAU DEO NAFIKIRI KUNA VITU VIZURI ZAIDI KUTOKA KAGERA AMABAVYO JAMII INAWEZA KUFAIDIKA NAVYO KULIKO KUONYESHA KIJIJI CHA KATERELO.
MDAU CH
Jamani, watu wengine, angalia mda tunao tumia kuongea juu ya masuala yasiyo na msingi. Nchi yetu ina shinda nyingi, maendeleo ya kiuchumi ebu angalieni Beach ya Tanzania inayotangazwa kwenye wikipedia eti iko Dar es salaam. Mnadhani ikiwa hivyo nchi itaendelea, jaribu kulinganisha hiyo picha na za wenzetu. inabidi tubadilike.Ni wakati wa uchanguzi tungekuwa tunaongelea viongozi wetu na nini kifanyike kwa miaka mitano ijayo; sisi tupo tunaongea mapenzi ebu tuache kuendekeza maneno yasiyo na msingi. Katerero ina wasomi wengi na wataalam wa kimataifa. ungelinganisha na kijiji chako , nadhani usingeongea tena. Mila ni kitu cha msingi, nachofurahia hawa watu wametunza mila na desturi zao hadi leo, ni jambo zuri sana inabidi tuwasifie.
ReplyDeletealafu michuzi ukibania ujumbe huu basi.