

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole Bw. Gama unaacha vinono vya Wilayani Mbeya.. ebu jionee mwenyewe hapo; wembaba wakuhesabu. Wasalimie Ilala.
ReplyDeleteDiet jamani! Die jamani!
ReplyDeletehivi kwa nini bongo kila mtu mzima from 40 anakuwa mnene au huwezi kuhashimiwa bila kunenepa je serikali ana habari kwamba karibia nusu ya watz wana obesity ambaya ni hatari kuliko hata AIDS?
ReplyDeleteHuyu Mheshimiwa ni mchapa kazi saana. Nakumbuka sana enzi zile nafanya kazi Lindi alikuwa mkuu wa Wilaya ya Nachingwea. Kwa muda mfupi alifanya mambo makubwa sana Nachingwea ikiwemo ujenzi wa Boma la mfano Tanzania nzima, kuacha lile la Manyara.
ReplyDeleteNatumaini atafanya makubwa zaidi Wilaya ya Ilala kwani Resources za kumwaga Ilala.
Mtabata
What can I say?!
ReplyDelete"Same size"
kaka michuzi ebu tuambie hiyo stendi ilo eneo gani,wengine tuliondok muad huko
ReplyDeleteHuyu jamaa kwa umbo lake kama Mkapa natabiri huko mbeleni atakuja kuwa rais.
ReplyDelete