Wananchi wote mnatangaziwa kuwa Stelma Auctioneers kwa idhini ya NMB watafanya minada katika maeneo ya Shinyanga na Babati katika siku ya tarehe 17 na 18 April, 2010 na pia huko Kondoa 24 na 25 April 2010. Minada hiyo itahusisha Nyumba, na vifaa mbalimbali. Minada yote itafanyika kuanzia saa nne asubuhi kwenye sehemu husika.

KONDOA
Ifuatayo ni orodha ya maeneo ya nyumba zitakazouzwa kondoa.

Kondoa Town(5)
Mningani(1)
Mrijo(5)
Mwailanje(4)
Mwakisabe(12)
Haubi(1)
Jangalo(1)
Mapango(1)
Soya(20)

Nyumba zitakazouzwa Babati katika mkoa wa Manyara

Residential Houses one Located at Hangoni “C” (Nangara) PO BOX 83, Babati, Manyara.
Second residential house located at Mji mpya Block “R” Plot No “435” PO BOX 48, Babati, Manyara.
Third residential house located at Dareda Centre PO BOX 297, Babati, Manyara.

Nyumba zitakazouzwa
SHINYANGA

Majengo mapya plot no 320 block kl, Viwanja vya mwadui plot no 740 block “pp”

Viwanja vya mwadui plot no 720 block “pp”, Majengo mapya plot no 503 block “mm”

Mshikamano street plot no 320 block kl.

Masharti ya Mnada

(1) Chombo au kifaa kitauzwa kama kilivyo mahali kilipo
(2) Mnunuzi atalazimika kulipa amana papo kwa hapo isisyo chini ya asilimia ishirini na tano ya mali atakayo nunua na atalazimika kukamilisha malipo husika ya asilimia sabini na tano ndani ya siku kumi na nne kuanzia tarehe ya kifaa kunadiwa.

Kushindwa kufanya hivyo kutamwondolea mnunuzi haki zote za ununuzi na amana iliyolipwa haitarudishwa

(3) Mnunuzi atatakiwa kuchukua mali aliyonunua kuanzia siku saba kutoka siku ya kukamilisha malipo.
(4) Ruhusa ya kuangalia mali zitakazouzwa itaanza siku mbili kabla ya mnada.
(5) Minada itaanza saa nne asubuhi katika sehemu na siku husika.
Phoebe Kayumbo
Public Relations Office!
simu: 0653 550261
Stelma Auctioneers

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...