Beki wa Moro United, Oscar Joshua (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Manyema Rangers, Waziri Khatibu. Beki wa timu ya Moro United, Stephano Mwasika (kushoto) akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Manyema Rangers, Lusajo Mwakyusa wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Manyema ilishinda 2-0 na kuishusha daraja timu ya Moro United.
Mshambuliaji wa Manyema Rangers, Benedict Ngasa akitolewa uwanjani baada ya kuumia
Benchi la ufundi la timu ya Moro United likiongozwa na Kocha Msaidizi wa timu ya Moro United, Abeid Mziba (kushoto) wakishuhudia timu yao ikishushwa daraja baada ya kunyukwa magoli 2-0 na Manyema Rangers 'Mkuki wa Sumu' wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru, Dar e Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kosa lao wenyewe wanavaa jezi za nuksi wataacha wapi kuteremka daraja.

    ReplyDelete
  2. maskini abeid mziba,hapo kibarua naona kishaota nyasi....time ya kutumia savings sasa,kama unayo lakini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...