Ankal msaada kwenye tuta hii ni Shule maarufu sana dsm ya Muhimbili Primary School. Mimi (pichani juu) ni mmoja wao niliyemaliza mwaka 1992 darasa la saba A. nawatafuta sana classmate wangu popote walipo tuwasiliane kupitia
zifuatazo ni taswira za shule hiyo ilivyo leo








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wewe unazungumzia majamaa kina abubakar siraji,guy ligate and wengineo,Those were good times bro...Mijamaa kibao iko nje ya mvhi.some are here but sikuwahi kukutana nao.Nice pics good memory.
    Zama za msengeni na chuwa hizo

    ReplyDelete
  2. 1992 std seven halafu umezeeka hivyo...jaribu kula matunda kwa wingi na maji na bila kusahau gym,na kama unakunywa pombe punguza.

    ReplyDelete
  3. Mwl Ndosi yupo hai hivi?....LOL tha dude was one of a kind.

    ReplyDelete
  4. duh!!mussa umemaliza 92,umezeeka hivyo?92 mi niko form 3 lakini wewe unaonekana babu kuliko mimi,nilimaliza hapohapo

    ReplyDelete
  5. Did you mean 1982? Maana unaonekana ushakula chumvi au ulirudia rudia madarasa nini? asante kwa picha , brought back great memories!

    ReplyDelete
  6. MTU YOYOTE AKIAMBIWA AKISIE UMRI WAKO WENGI WATASEMA KUANZIA 35 TO 45 MIMI NILIMALIZA DARASA LA SABA 78 NIKO KIJANA KULIKO WEWE WATU WENGI WANASEMA NIKO KWENYE 20s POMBE, SIGARA, KUTOFANYA MAZOEZI, KUTOPUMUZIKA NA KULA SANA HUO VINAZEESHA SANA.

    ReplyDelete
  7. Duh...thats what its called MEOMRY LANE...hiyo ilikuwa miaka fulani hivi,mi nilikuwa darasa la sita,kulikuwa na waalimu nuksi na wengine walikuwa poa sana...kama Ndosi,Chuwa hao walikuwa nuksi sana ..ila kulikuwa walimu wengine bomba japokuwa walikuwa wakubwa kama.. Kitutu,Nchimbi walikuwa wanapendeza sana!si unajua tena!
    Halafu kulikwa na jamaa moja hivi lilikuwa linatuonea sana "BUKABA"sijui liko wapi? kama sio jela maana lilikuwa linatuchangisha hela(jizi)..jamaa noma!

    ReplyDelete
  8. Duh ..hizo picha ni zinatukumbusha long time...hapo kwenye hilo lichuma ndio kulikuwa na kengele! halafu hapo kwenye watoto ndio unaingia canteen!Halafu mjomba kweli punguza hiyo minyama na pombe na wanawake pia ... yaani 92 umechakaa hivyo..ila poa umetukumbusha tunashukuru

    ReplyDelete
  9. ebana eee long time hiyo! hiyo shule ilikuwa poa sana ilaa mhhh nikikumbuka zile adhabu za ndosi!! ila yule jamaa alikuwa mlevi sana,nashangaa wizara haikuwa makini nae maana alikuwa anakuja shule yuko bwiii sometimes...halafu sijui vile vyoo vichafu vya miaka ile bado vipo mpaka leo?? ni mungu tu ndio alikuwa anatusaidia maana vile vyoo! ni noma..halafu walimu walikuwa wajasiriamali pia...maana vimaandazi,ubuyu...come on ..wadau wanakumbuka haya!

    ReplyDelete
  10. Unanikumbusha mbali sana kaka, kweli hizo ndizo enzi za Muhimbili wakati Mwl Ndosi ofisi yake chini ya mti ule uliokuwa mbele ya darasa letu (Saba A). Enzi ya kucheza kitenesi uwanjani kwa madarasa yote wakati mmmoja na huwezi gusa mpira wa mwingine. Enzi za kuokota mifuko ya sun vita na mbegu za ubuyushule nzima kama adhabu, been long time bro!

    ReplyDelete
  11. du kweli mshikjai umezeeka au ulikuwa dizaini ya kina bukaba, umechunga ng'ombe weeee kwenu, umerudii midalasa weee kwenu,umeoa weee kwneu, halafu ankali wako mzito silikalini akakutupa shule, hata mimi 1992 nilikuwa tiyali form 3 azania boiz, lakini bado sijazeeka hivyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...