Ombi langu katika Globu ya Jamii ninatafuta jamaa yangu kwa majina anaiitwa ALCHELAUS KALOKORA MATALEMWA tulipozena naye.mwaka 2000 nikiwa Cosolata seminari huko Jijini Nairobi yeye akiwa Kola Hill Seminari kwa yeyote anafahamu contact zake naomba tuwasiliane simomaziku@yahoo.co.uk au simu 0031616399496 naiishi na kufanya kazi jijini Amsterdam
Simon Maziku
S-Gravesandestraat46
DE 1091 Amsterdam.
The Netherlands.
Email:simomaziku@yahoo.co.uk
Tel:+31616399496
Simon Maziku
S-Gravesandestraat46
DE 1091 Amsterdam.
The Netherlands.
Email:simomaziku@yahoo.co.uk
Tel:+31616399496
Ukishampata ndio iweje? akufate Amsterdam? Matangazo kama haya jamani pelekeni Redio wani ndio pahala pake...ohoo.
ReplyDeleteWewe anonymous 03:45:00 AM,Simon anamtafuta rafiki yake, ana haki zote kutangaza popote anapojisikia. This is a free world.
ReplyDeleteUnapomwambia aende Radio one maana yake nini?
Welcome globu ya jamii, ni bure kuweka matangazo, Simon nakutakia mafanikio mema, mtafute rafiki yako wazamani.
ebu tubadilike watanzania mtu anamtafuta rafiki yake ktk media inayofikika kirahi na watu wote duniani km hii blog ya jamii wewe unamwambia aende radio one huku ukijua upatikanaji wake hata kwa hapa tanzania bado si mzuri. kumbuka si wote waishio bongo wengine wana mishemishe zao nje ya nchi!!!! kheeee
ReplyDeletewewe jamaa wa mwanzo hapa Wed Apr 07, 03:54:00 AM, haya yamekuhusu nini? hii sio blog yako na sio ya yeyote ila ni ya michuzi.
ReplyDeletesasa kama michuzi amepokea ujumbe huu na kuamua kuuweka wewe ni nani au una wadhifa gani wa kukataza au kumdhihaki alietuma ujumbe huu?
twambie basi kama una share katika hii blog tujuwe!!!!
Mdau
ReplyDeleteKuwa mwangalifu sana kuweka ANUANI YAKO kwenye vyombo vya habari
jina na anuani yako(kama ndio unapoishi) hii inaweza tumiwa na wengi kufanyia mambo mengi shuti jina lako litaaribika na credit itakufa
Muwe wamakini sana wanajumuiya. As kuna e-mail hiyo inatosha ndugu yangu kumbuka mambo ya barua posta vimepungua siku hizi
Kuwa makini tena mchi uliyopo mbona raha, watu waweza tumia anuani hiyo kama previous address then kazi mbele kujifaidisha etc
Mdau
Mkuu hilo jina,ni matalemwa au mutalemwa?kuna jamaa nilikuwa namfahamu,anaitwa mutalemwa kalokora,lakini alishakufaga long time...
ReplyDeleteNafikiri hata wenye matatizo ya akili wanaitumia globu ya jamii, mfano mzuri ni huyo anonymous wa Wed Apr 07, 03:54:00 AM!!! Hongera michuzi unawezesha kuwasiliana dunia nzima kiulaiiiini.
ReplyDeleteanon wa Wed Apr 07, 12:30:00 PM kula tano, hawa majamaa wengine wamezidi mno, kama ulivyosema wanadhani hii blog ni yao, wameianzisha wao au wana hisia na blog hii ilhali ni blog ya michuzi pekee. ni uamuzi wa michuzi ni nini kitokee na nini kisitokee hapa.
ReplyDelete