Habari Ankal!
Naomba kupata msaada. Nasikia ramani ya mji mpya wa Kigamboni inapatikana kwenye mtando. Je, ni site gani niingie niweze kuona hiyo ramani.
Naomba msaada jamani.
Naomba kupata msaada. Nasikia ramani ya mji mpya wa Kigamboni inapatikana kwenye mtando. Je, ni site gani niingie niweze kuona hiyo ramani.
Naomba msaada jamani.
Mdau Kigamboni

mdau hiii taarifa niliipata lakini mimi nimeambiwa ramani inauzwa kule kule kigamboni kuna ofisi zaooo.kama ungekuwa na wakili nadhani mawakili wengi wanakuwa nayo.
ReplyDelete