HABARI ANKAL MICHU, ASANTE KWA KUTUPA HABARI KWENYE BLOG YAKO YA JAMII HASA KWA CC WAMA2MBI WA UGHAIBUNI.
NAWATAFUTA RAFIKI ZANGU WALIOMALIZA SHULE YA MSINGI WAILES MWAKA 1994 KAMA CKOSEI NI DAVE MWALUSEKE, HASSAN MOHAMMED ANTARO, HADIJA JUSTINE NA AMIR MUHANDO (ONGERA SANA KWA KUPATA MKE (MARIAM) NA WOTE WALIOSOMA DARASA LA SABA D. NA PIA WALIOSOMA JITEGEMEE NI JOSEPH MWILAWI, RUKIA SHEBILA, AMINA MUYEGE, SECILIA JOSEPH, BRENDA, MARIAM KATEMBO, ARETA MUGANDA, CHRISTOPHER, DOREEN KITINDI, NEVUMBA JAMES, PATRICK (MCHEZAJI WA FC YA ARUSHA,) CHRISPIN KINABO (ONGERA KWA KUPATA MKE) NA WOTE NILIOSOMA NAO CLASS B THREE( B3) MWAKA HUO WA 1998,,,,,,, 2WACLIANE KWA EMAIL HII
from mdau SWEET PAUL.
Weee kwanini usiseme tu wadau niliosoma nao shule ya msingi WAILES MWAKA 1994 std 7D na shule ya sekondari Jitegemee mwaka 1998 Class B3...Halafu wewe ndio uweke jina lako la kwanza na la mwisho wanaokupenda au wanaokukukumbuka ndio wakutafute.....Wewe umeficha jina lako la mwisho halafu majina ya wenzio umeyapamba humu kwenye blog. Hivi unajua ni watu wangapi hawataki kabisa majina yao yaingie huku hadharani kwanza kwenye mablog ya umma?
ReplyDeletePeople who abuse other people's privacy just piss me off!.....
Halafu mijitu mingine sijui ipoje, sasa nini maana ya kuwatafuta kama unajua na wengine wameoa,maana yake ni kuwa unafahamu taarifa zao,au waliokupa taarifa kuwa fulani kaoa ungewaomba na mawasiliano yao pia, kupoteza muda na hela tu Cafe.
ReplyDeleteMdau
Blog ya ankal naipenda kwa sana kwa ajili ya comments za wabongo. Wabongo ni wakali na kwa kupeana ukweli baaabu kubwa..
ReplyDeleteLakini kweli hizi stupid posts ndio zinakimbiza hii blog kwa speed kubwa sana. Ingekua tuko kwenye highway hapa tunakwenda 90 miles per hour. Siku hizi usipofungua hii blog siku mbili basi tena habari za nyuma hata hatuwezi tena kuzifungua kama zamani.
Lazima watu wapewe pipande vyao wakitaka kupost mavitu yao wafikirie kwanza.