Mkazi wa jijini Dar kiwa amekaa juu ya sofa wakati akisafirisha vyombo vyake vya nyumbani kwa kutumia guta kama alivyokutwa katika mtaa wa Nkrumah na Francis Dande wa Globu ya Jamii. Maguta ni njia mojawapo yenye unafuu na wengi huitegemea Ila usalama wa huyu mama si wa uhakika sana ukizingatia fujo za madereva wa daladala
Home
Unlabelled
usafiri wa bei nafuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...