Muddy akiwa katika bango la kikundi chake cha sarakasi
Muddy na wenzie katika shoo huko Madrid

Juu na chini Muddy na wenzie wakiburudisha katika Jumapili ya Pasaka huko Spain

Muddy akiwa kazini na wenzie

Muddy Idd mwanasarakasi mwenye kuwanasa
washabiki kwa vituko vyake huko ugahibuni!
Pichani akiwa katka moja ya maonesho ya Pasaka nchini Spain.
Muddy anamshukuru sana mwalimu wake Rajabu zubwa wa Basata akisema kweli aliwafundisha SARAKASI halisi,
NA KWAMBA SARAKASI KWA SASA IMEKUA KIVUTIO AMA NI NJIA NYINGINE YA KUITANGAZA NCHI YETU TANZANIA KWA NJIA HII KWANI KILA ATOKEAPO JUKWAANI JINA LAKE NA KWAMBA ANATOKA TANZANIA HUTAJWA NA KUSHANGILIWA SANA

Hakika wasanii wengi wa Tanzania wanaoishi ughaibuni wanaitangaza vema nchi yao kwa njia ya sanaa zao za maonyesho!
Muddy ambaye ana maskani yake mjini Koln,
Ujerumani kwa sasa anafanyia shughuli zake nchini Spain.
Mmatumbi huyu mwenye kipaji amekuwa kivutio kikubwa kwa washabiki wa sarakasi kila anapofanya show huko ughaibuni kwa kushirikiana na wasanii wengine wa mataifa mbali mbali ya ulaya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Shukrani Muddy kwa kuitangaza Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...