awali kiota hiki kilichopo maeneo ya Ghana jijini Mbeya kilijulikana kama Orofea. siku hizi ni Mkapa Conference Centre. Ni pazuri kwa mikutano na minuso kama panavyoonekana
kwa mbele
wakati dar tunapata taswira za harusi pale ufukweni mwa barabara ya ocean road, Mbeya ni hapa. Hii harusi ilikuja kupata taswira tu. ndani kulikuwa na mnuso wa harusi ingine



mdau ulie leta hii kitu naomba namba ya simu ya hawa jamaatafadhali.
ReplyDeleteAnkal
ReplyDeleteHuu ukumbi wa Mkapa haupo eneo la Ghana kama mdau alivyosema bali upo eneo la Soko Matola na zamani ulikuwa unaitwa Welfare not Orofea
enzi hizo nipo mby R.Mengi kaweka TV yake kupitia ITV tunaangalia fainali za mataifa huru ya africa yaliofanyika nchini afrika kusini, tunaitana wazee wa soka "Oyaah twendeni komuniti senta kuangalia mpira" wanajeshi utawasikia "Poa tumsubiri kwanza kamanda V" hapo tunatoka ISANGA kikosi kamili enzi hizo isanga inatisha mkoani mbeya "it was just like the autonomous state in the country and no one could be able to interfere our..." kila mtu alikuwa mbabe na tulikuwa tunajulikana kama ISANGA DEFFENCE ARMY (IDA)tulikuwa wakorofi wee acha tu..
ReplyDeletehuu ukumbi ulikuwa unaitwa COMMUNITTE CENTRE
Mithupu naomba niweke ule wimbo..."Safari yetu Mbeya, Tulifurahi sana.. wakazi wote Mbeya walitushangilia.." nimesahau unaendaje.
ReplyDeleteumenena kaka badi hapo sio ghana ni soko madwichi aka matola
ReplyDeletekweli
ReplyDelete