Home
Unlabelled
ubunifu wa kibongo?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii imekaa vibaya, japo ubunifu umetumika. Tujiulize hii gari inabeba abiria usalama wao ukoje ndani ya gari hii walofanyiwa modification? Kwa upeo wangu mdogo naona hizo tairi za katikati zitakuwa zinaenda upande na kujiburuza wakati wa kuakata kona, kwa hiyo haiwezifanya kazi kiufanisi. me naona laweza hata kunyofoka hapo lilipoungiwa
ReplyDeleteHUKU KWENYE NCHI ZILIZOENDELEA NA ZINAZOJALI MAISHA YA RAIA WAKE, UBUNIFU KAMA HUU NI KINYUME CHA SHERIA.
ReplyDeleteHAYO MAGARI YANATENGENEZWA KWA VIWANGO MAHSUSI NA MATUMIZI YAKE, HAO WALIOBADILISHA WAO WAMEFUATA VIWANGO GANI. WANAWEKA MAISHA YA ABIRIA HATARINI.
MDAU, READING.
Hongera kwa ubunifu.
ReplyDeletemi sioni tatizo la urefu wa gari hii ukizingatia gari ndefu kama au kuliko hizi zipo na zina matairi zaidi ya yanayoonekana katika gari hii. Lamsingi la kujiuliza ni kuwa jee uunganishaji wa gari hii umezingatia taratibu za kiusalama? nakusudia umadhubuti wa kiungo. urefu na wingi wa matairi nadhani sio tatizo.
hongera kwa ubunifu
Hii sio mpya mbona wajameni? Kwenye Mbuga zetu za wanyama, 4wheel drive nyingi zinazopeleka watalii zimeundwa kwa staili hii, nimeziona kwa macho yangu Landrovers kebekebe Ngorongoro tangia 2006
ReplyDeleteHivi kuna askari ambaye hupitia kwenye mitandao na kuona haya?
ReplyDeleteHapo hamna tatizo. Tena ni bora kuliko FUSO zinazobadilishwa kutoka lori uwa basi hapo Bongo. wengi pia hawajui kuwa ni mabasi machache sanamakubwa yanakuja kamili. Mengi yametengenezewa bodi kwenye garaeji tu za mitaani hapo Dar na Nairobi!!
ReplyDeleteTanzania hakuna sheria za udhibiti wa mambo muhimu kama haya. NI injinia gani aliyethibitisha ubunifu huo kwa usafiri wa umma kama unakubalika? Injinia gani aliyethibitisha uwezo wa injini ya gari hiyo ina uwezo wa kuvuta mzigo wote huo? UPUZI MTUPU NA HATARI TUPU. SERIKALI INAFANYA NINI?
ReplyDeleteKwa nini malori hayana matairi katikati isipokuwa nyumba na mbele tu?
tumieni akili kwanza kabla ya kfanya kitu
Hii ni ubunifu mzuri sana. watu wanajifanya wanjua sana USALAMA. hata haya magari ayana DESIGN CONSIDERATION STRATEGEY. mfano design consideratin strategy ya Benz Model ya C ay E haiweizi kuwa sawa na Ya corolla au Maark II. C200 inaweka kipaumbele zaid kwenye usalama na uimara wa gari wakati MArk II strategy yao inakuwa kwenye cost ndogo. Hakuna system inayokidhi iwango vyote tusijidangaye.
ReplyDelete