Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mama kapendeza.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. Ankal, naona umebana maoni yangu kuhusu Tanzania National Day kupangwa siku ya Mei Mosi, kwa sababu hutaki kuutoa hapa ujumbe huo basi wapelekee kwa email. Asante, mdau

    ReplyDelete
  3. Hivi Mei Mosi sio siku ya kazi kwa Tanzania na nchi nyingi? Wamartekani hawasherikei laba dei siku hiyo!

    Kama mna hamu ya saana ya kuwa na National dei kwa mtazamo wangu naona ingekuwa siku ya Uhuru au ile siku ya Muungano au ile siku Tanganyika ilikuwa Jamhuri or even better siku T.A.N.U ilipoanzishwa na wakereketwa wa Taifa hahahaha

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona unaignore comments zingine hiyo sio maana ya blog

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...