Lovely Gamble Promo
Salama Ankal
Pole sana na Mihangaiko ya kila siku. Ningependa kuwataarifu wadau wote kuwa ile muvi inasubiriwa kwa hamu sana ya Lovely Gamble itatua bongo ndani ya club Billicanas jijini Dar tarehe 28th April, 2010 na huku mji wa kusoma (Reading) ni 29th May, 2010
Hapa pana documentary ikiwa na Intavyuu ya waheshimiwa Emmanuel Nchimbi na Amosi Makala wakitoa maoni yao Kuhusu Lovely Gamble. Chini ni trailer yake. Libeneke oye!
http://www.youtube.com/watch?v=TJTYAS_cNpI
Pamoja na Trailer yake
http://www.youtube.com/watch?v=zNltrI096hU
mdau
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative
Lovely Gamble Trailer
Kanumba kazi nzuri sana ila endelea kuimprove kizungu kuanzia pronouciation , u will be great, kama unavyojiita the great
ReplyDeleteKanumba upo juu, keep it up! Utafika tu, you don't have 2 worry maneno ya waswahili, ndiyo tupo hivyohivyo hatuachi kutoa kasoro!
ReplyDeleteTehe tehe ,eti we should stop this cheating business.tehe tehe raha tuuuupu
ReplyDeleteMake Up nyingi mpaka zinatia kinyaa. kujitahidi si kuiga utamaduni wa magharibi.
ReplyDeleteyeah mowie imetulia...safi sana kanumba naona umepiga hatua moja kali ,nakupongeza sana....je uku Ujerumani itazinduliwa lini???...naona wadau wa uku wamesaulika
ReplyDeleteMdau ,
Network Eng.
Dresden-Germany
frank anapenda matanuzi
ReplyDelete