KUACHILIA MBALI SUALA LA ULINZI, ASKARI POLISI WANAJUKUMU KUBWA KWA JAMII INAYOWAZUNGUKA. PICHANI NI ASKARI WA MKOA WA KIPOLISI WA TARIME/RORYA WAKIMTWISHA MWENZAO GUNIA LA BANGI KATIKA MOJA OPERASHENI YA KUTEKETEZA BANGI NA MASHAMBA YA BANGI HUKO TARIME, MKOANI MARA HIVI KARIBUNI.
Kwa habari zaidi na taswira za toka kanda ya ziwa
BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Why are not destroying it on site??

    As you can see it has been harvested and well bagged ready for export. A booming business really, yes it is!! Don't come back and say it will be destroyed, never.

    ReplyDelete
  2. mkoa huu uko wapi?

    PICHANI NI ASKARI WA MKOA WA KIPOLISI WA TARIME/RORYA

    mkoa wa kipolisi umeanzishwa lini tanzania?

    ReplyDelete
  3. mdau alouliza why hazijachoma eneo la tukio,angeenda kwenye link chini kwanza.usipembe kulia lia kila kitu na mawazo hasiu,ndo maana wa africa hatuendelei,kila kitu negatives tu,unadhani mtu kama huyo ukimpa uongozi,si atakuwa na nidhamu hiyo hiyo ya uwoga.

    ReplyDelete
  4. nimeshajua kwanini wanachinjana

    ReplyDelete
  5. Jimbo la Mashaka hilo.

    ReplyDelete
  6. Kwa nini wasichome hiyo bangi hapo hapo shambani?

    Ndio maana wasomi hawataki kuwa mapolisi...mambo gani haya ya kubebeshana viroba kwenye jua kali namna hiyo!!!

    ReplyDelete
  7. They should legalize this stuff for people over 21 yrs old. I guess this thing is just like tumbaku or Ugoro. I work with very well educated, matured and responsible people in a well-known and very reputable company here. When I chitchat with my co-workers some of men admit they used it while were in college and some of them open admit that are still using this thing on weekends for recreation. Honesty I don’t see anything wrong with them. They do their works right, pay their bill and live normal lives just like other people and on Mondays they come very well relax with high energy to start another week. I guess anything in moderation is just fine.

    Just by carrying those bags with no proper equipment or proper insulated bags I am sure those poor policemen are inhaling so much that could be the equivalent amount to the person who is using it.

    ReplyDelete
  8. Ankal hapo umepunguza uhondo.

    Next time weka picha na maelezo yaseme 'askari apigwa picha live akibeba bangi' then wacah watu wacomment.

    mwisho baada ya comments kama 100 na ushee ndio uweke maelezo kamili.

    Ankal kuwa msanii wa habari kidogo lakini usidanganye. Fire up wasomaji, ukitafuna story hainogi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. sasa ndio tumejua kwa nini nyinyi watu huwa mna munkari sana kumbeeeeee mjani dot com alaaaah!

    ReplyDelete
  10. Huyo akari aliyebeba mzigo kidogo afanane na Mpoki wa ze comedy

    ReplyDelete
  11. ayaaa hicho kidhibiti kinaenda mahakamani kilo 2 the rest faida. sio siri mapolisi wengi sana wanavijana wao wanaowasaidia kupush mzigo mitaani na do maana huwa hawakamatwi

    ReplyDelete
  12. Wataichoma kweli au ndio........inakwenda sokoni tena kwa ulinzi wa uhakika?

    ReplyDelete
  13. ha aha ha ha ha kudadadadeki man at work! magunia kwa magunia yamevunwa yote yanapelekwa central kwa ajili ya ushahidi.. siku mtuhumiwa akipelekwa mahakamani ushahidi utakao pelekwa ha ha ha "KETE MBILI ZA BANGE" he he he


    MDAU KUTOKA TARIME A.K.A UKANDA WA GAZA

    ReplyDelete
  14. he huyo ni KULI au? siku akitemwa kazi utamkuta kariakoo shimoni kwa sababu uzoefu atakua nao wa kutosha

    ReplyDelete
  15. Huyo mmoja ni mjomba wangu kumbe nyumbani huwa anasema yeye polisi kumbe ni kuli wa kubeba mizigo.Ahaa sasa nimejua.

    ReplyDelete
  16. Nimeona kwenye link hapo picha ya maaskari wakiichoma moto bangi. Swali langu wadau, hivi moshi wa bangi hautawalewesha? Manake naona hawajavaa vizuizi vyovyote vya kuzuia inhalation ya huo moshi wa bangi.

    ReplyDelete
  17. labda ankal amekosea huyu ni askari wa zecomedy!!!

    ReplyDelete
  18. hii wanapewa askari wa zamu ya usiku ili wasilale wanapokua katika doria.

    ReplyDelete
  19. MIMI NA NYINYI NYOOTE MLIOANDIKA HAPA JUU YANGU TUNAUCHU NA HIYO NGIBA NA ACHENI KUMPAKA KAKAANGU HUYU ANAFANYA KAZI HAPO, SI UNAJUA BANGI UKIICHOMA NI LAZIMA MOSHI UTAUVUTA NDO MAANA WANAIPELEKA MBALI KUIHARIBU

    ReplyDelete
  20. Nashukuru mambabu zetu wa ukoo kutamka kuwa hii 'injaga'ni mwiko.

    Na Anayekiuka laana lazima imfuate.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...