Ankal Habari,
Kwanza wasalimie wa nyumbani wote hapo, pili nawaambi Man U wakae chonjo mana goma limewashinda (tuliwapa nafasi kwa mda wamechemka). Sisi wazee wa Darajani tunajiandaa kula bata kusheherekea ushindi wetu usio na dosari.
Wasalimie wote
Mdau wa Darajani kutoka Milima ya Sinai
Kwanza wasalimie wa nyumbani wote hapo, pili nawaambi Man U wakae chonjo mana goma limewashinda (tuliwapa nafasi kwa mda wamechemka). Sisi wazee wa Darajani tunajiandaa kula bata kusheherekea ushindi wetu usio na dosari.
Wasalimie wote
Mdau wa Darajani kutoka Milima ya Sinai
(Sharm el Sheikh - Egypt)
Halafu kaka waambie asiependa asage chupa abwie kwani wame zidi mno. Man U akishinda wanaitwa mabingwa sie wapolish twaambiwa ushindi wa utata! loh!!! moto mtauona msimu huu!!
ReplyDeleteAsante sana Mdau Ally Ubwa kutoka Milima ya Sinai tumekupata uzuri.
ReplyDeleteChelsea wameungana na Man U katika masuala ya mbeleko
ReplyDeleteMwaka wa chelsea huu bila ya shaka, double inachungulia ile pale. Man u mazishi yenu jumamosi katika stadium ya man city, mwaka huu mmechemsha kinoma.
ReplyDeleteMdau True Blue Helsinki.
ha ha ha eti bila utata hata goli la drogba sio utata eenh, kumbuka limewapa point 3 za bure mmemuharibia refa wa watu kibarua kwa kuwafavor
ReplyDeleteha ha ha ha tatzo hamjazoea ubingwa ndo maana kelele nyingi wakati bado jion subirini giza liingie kwanza
Mbona mnawapigia kelele man u tu mnawaogopa eeeeeeeeenh haoooooo... wakt kuna arsenal hapo
Man u
Kidaraja Oyeeeeeeee!
ReplyDeleteMtamuona Liver mkikutana naye nyie kenueni tu, na kikocha chenu chenye sura mbovu. The GUNNERS are chaps this yaa.
ReplyDelete