Jumuiya ya Watanzania Rome, inawatakia Watanzania wote popote pale mlipo sikukuu njema ya Pasaka yenye matumaini, upendo na amani.
www.watanzania-roma.blogspot.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya watanzania wenzetu, asanteni kwa matashi yenu mema. Pia napenda kuuliza kama Jumuiya ya watanzania Rome ni ile ile iliyoonekana wiki iliyopita ikivishwa shahada za CCM au kuna tofauti?

    Mdau, Kihonda.

    ReplyDelete
  2. SHUKRANI WATANZANIA WENZETU KWA KUTUKUMBUKA KWA MAPENZI MEMA! ILA MSIIGE ULE UPUUZI WA WENZENU WA MJI WA KAMORA, JIRANI ZENU WA KUKIMBILIA MASWALA AMBAYA HAYANA TIJA HAPA UGHAIBUNI.


    HAMIS, ATHENS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...