Ankal,
Natumai umzima na unaendelea na kazi vizuri inshaALLAH.
Naomba upost hizi tovuti za kiislam kwani ni katika kuendeleza elimu juu ya diin yetu na kwa yeyote mwenye swali au haelewi baadhi ya vitu katika dini ya kiislam anaweza kutuma maswali na kujibiwa na wanazuoni kwani ni muhimu hasa ukizingatia katika nchi za nje watu wengi wanakosa mtu wa kumuuliza juu ya mambo ya dini.Na pia kwa mwenye kutaka ku download Quran tukufu pia anaweza kudownload for free na anaweza kunicontact mimi nitampa maelezo zaidi.

www.alhidaaya.com
www.quranicaudio.com

Nawatakieni woote usalama na amani
Assalam aleykum warahmatullah waraqatuh.
baljabry@yahoo.com

Bukhite Aljabry

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Shukran kwa habari hizi Aljabry!

    ReplyDelete
  2. shukran za dhati kukuweza kuijua blog hii hongera kwak ajabri allah iweze hiyo blog indele vizuri.

    ReplyDelete
  3. Hawa alhidaaya ni Salafi a.k.a wahabi? ama ni sunni wa kawaida tu?

    ReplyDelete
  4. Jazakallah khairee ndugu yangu Aljabry, nimefurahi sana maana napenda sana usomajai wa "Hani ar-Rifai" na nilikua sijui wapi pa kumpata. Pia kuna web site nyingine kwa wale wanaopenda kujua tafsiri ya Qur'an kwa lugha mbalimbali inapatikana http://tanzil.info/

    Mwisho ningependa kumkumbusha ndugu yangu Anonymous Sat Apr 03,12:34pm kwamba usisungumze jambo bila kuwa na ujuzi nalo. Soma upate kujua maana na wapi neno Wahab limetoka kabla ya kukimbilia kuwapachika watu majina. Wanaadamu hatotoweza kujua Hakh mpaka tufute ujinga kwa kusoma Dini sawasawa. Nisamehe kama nitakua nimekosea kukumbusha ndugu yangu.

    ReplyDelete
  5. mngeweka na website za sunni sio hizi za Answar sunna peke yake.msilazimishe watu wawe Mawahabia-Answar sunnah,sisi watanzania wengi ni sunni zingatieni hilo.

    ReplyDelete
  6. sisi wengine ni madhehebu ya shia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...