ANKAL,

NAOMBA MSAADA WA KUWAKUMBUSHA MAFUNDI MCHUNDO NA WAHANDISI WOTE POPOTE WALIPO DUNIANI KUWA LEO NDIO ILE SIKU TULIYOTAKIWA KWENDA WORKSHOP YA PALE IFUNDA ETI KUPEWA MAKABATI MAPYA YALIYOTENGENEZWA RASMI KWA KILA NEW COMER MAARUFU KWA JINA LA FORM ONE!!!

SIKU HII ILIKUWA NI YA AJABU NA VIOJA VINGI KWANI ILIKUWA SI RAHISI KUAMINI KUWA ILIKUWA NI KANYABOYA YA SIKU YA WAJINGA, KWANI ILIHIMIZWA VYEMA HATA NA VIONGOZI WA SHULE ILI TU KUONA NA KUHAKIKISHA KWAMBA FORM ONE ATABAKI KUWA HIVYO TU HATA KAMA AKIWA AMEOTA MANYOYA!!!
ILIKUWA NI MOJA YA UTARATIBU WA KUWAKARIBISHA SHULE NA KUYAJUA MAZINGIRA HALISI YA SHULE! HAKIKA WALE WALIOONEKANA WAJANJA NDO WALIOKUMBWA NA KANYABOYA HII!!!, KWANI WALILAZIMIKA KURUDI NA MAKABATI MABOVU MPAKA MABWENINI HUHKU WAKIZOMEWA!!!

TODAY IS APRIL 1ST,
TUWE MAKINI NA KUCHEKA PIA NI AFYAAAA!

Mdau wa IFUNDA TECH
(1987-1990)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. du nimeshtuka kwa furaha sana kwa kunikumbusha mbali nilikuwa chabruma f4 kwa muje (1994-97) alituchapa sana bakora.wapi mdoe, upuju(nyaba),shukrani saana masala,mbungi,kocha,tall,mabena,kaguo, nk
    mdau (chemical engineer)
    doha

    ReplyDelete
  2. waswahili bwana kwa kupenda vya bure.ndo maana wapopo wanaendelea kuliza watu kwa kutuma email za mapesa.hahahahahahha cheka unenepe.

    ReplyDelete
  3. nakumbuka sana Ifunda(90/93),hapo mathematics nilikuwa naipiga vizuri sana,mambo sasa sio mabaya sana hapa States...nimemaliza Michigan State na sasa nipo na IBM,anyway kila la kheri siku nitapita hapo naweza kuwaachia msaada kidogo kuongeza hadhi ya shule yetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...