Viongozi wa muda wa Jumuiya ya watanzania London inawaomba watanzania wote waishio London kuhudhuria mkutano wa wana-London utakaofanyika ubalozini siku ya jumamosi tarehe 24-April-10 kuanzia saa 1100 asubuhi. Mkutano huu unategemea kuongelea maswala ya chaguzi wa viongozi na muundo mzima wa jumiya ya London.

Uchaguzi wa viongozi wa London unategemewa kufanyika tarehe 01-May-10. Mawazo yako ni mchango mkubwa kwa jumuiya na kama unazo sifa za uongozi na ari ya kuendeleza jumuiya mlango uko wazi kwa kila mmoja.

Asante,
G Mboya - Director of Communication

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Viongozi wa jumuiya... inawaomba? Mkutano utaanza asubuhi saa 11? Director of Communications vipi hapa?

    ReplyDelete
  2. 11am au saa tano asubuhi, hii ya saa 11 asubuhi(a.k.a alfajiri)?!ni kali kuliko Director!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...