Marehemu Seif Nassor


Kwa niaba ya familia Alhaji Hussein Nandule natoa pole kwa familia ya Nassor Bin Jabry kwa kuondokewa na kipenzi chao Marehemu Seif Nassor aliyezikwa tarehe 13 mwezi wa April mwaka huu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar. Marehemu alifariki usiku wa tarehe 12, April mwaka huu.
Mola amuweke pahala pema peponi. AMIN
-Ally Muhidin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. WHO THE HELL ARE YOU???????????????WE THOUGHT YOU'RE A SOMALIAN!!!!!!!!!!!!!!!NOW WHAT ARE YOU TALKING ABOUT?

    ReplyDelete
  2. Mbona huja cpture msiba wa Kibo Marealle Ankal?

    ReplyDelete
  3. Innalillahi Wainnailayhi Rajiuuun.
    Poleni sana wafiwa mwenyeezi Mungu awape moyo wa Subira, Amin.
    R.I.P Seif.

    ReplyDelete
  4. We, mzungu pori hapo juu, Mwenyeezi Mungu na akuhukumu haraka iwezekanavyo. AMIN.
    RACIST MKUBWA!

    ReplyDelete
  5. 03:35anonymous check what ur writing visije vikatokea puani,ankal approve vizuri kama huyu ***.. sio unaachia vitu vingine vinakera..rip seif

    ReplyDelete
  6. Awe msomali au mrundi, huu si wakati wa kujadili swala hilo! Poleni wafiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...