Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo imezindua kinywaji chake kipya cha Grand Malt ambacho hakina kilevi.
“Kinywaji hiki kipya kitaisaidia TBL kuwa na ushindani wa hali ya juu katika vinywaji vingine visivyo na kilevi kutokana na ubora na ladha yake,” alisema Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja wakati wa hafla ya uzinduzi wa kinywaji hicho katika Hoteli ya City Garden – Gerezani jijini Dar es Salaam.
Kinywaji hicho kimetengenezwa kwa maji,sukari,shayiri,lactose na vitamini huku kikiwa na ujazo wa mililita 330 katika kopo. Bei ya rejareja iliyopendekezwa na TBL ni Sh. 1,000 kwa kopo na Sh. 19,200 kwa katoni moja yenye makopo 24.
Minja alisema, Grand Malt ni kinywaji cha kipekee kutokana na ukweli kwamba kina vitamini pamoja na mchanganyiko wa maziwa.
Alisema kinywaji hicho kinawafaa wafanyakazi wenye shughuli nyingi lakini pia kinafaa kwa matumizi ya nyumbani, wafanyakazi wa usiku, wanafunzi, vikao vya kibiashara na sherehe nyinginezo.
Meneja wa TBL anayeshughulika na Bidhaa za Kimataifa,Consolata Adam alisema, “Kinywaji hiki lazima kizibe pengo la vinywaji visivyo na kilevi na bei yake inakwenda sambamba na vinywaji vingine vilivyopo sokoni.”
Alisema kinywaji hicho kimekuwa kikiuzwa katika sehemu nyingine Duniani na kutokana na hilo,TBL iliona haja ya kukizindua nchini Tanzania.
Consolata aliongeza kuwa Grand Malt ni kinywaji ambacho kinawafaa hata wanywaji wa pombe.
Kwa mujinbu wa meneja huyo, uzinduzi umeanzia Dar es Salaam na utaendelea katika mikoa mingine nchini hivi karibuni.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ni watengenezaji na wauzaji wa bia, vinywaji vya matunda vyenye asili ya kilevi (AFB’s) na visivyo na kilevi ndani ya Tanzania. TBL inazo hisa pia katika Tanzania Distilleries Limited na kampuni shirika, Mountainside Farms Limited.
Bia maarufu za TBL ni pamoja na Safari, Kilimanjaro, Ndovu Special Malt na Castle.
Vinywaji vingine vya TBL ni Konyagi Gin, Amarula Cream, Redds Premium Cold.
TBL imo pia katika Soko la Hisa la Dar es Salaam na imeajiri watu kiasi cha 1,300 huku ikiwa na wawakilishi katika sehemu kubwa na Tanzania na viwanda vitatu vya bia na depot nane kwa ajili ya kusambazia bia na vinywaji vingine vya kampuni hiyo.
Kwa mawasiliano zaidi
Consolata Adam
TBL, Meneja Bidhaa za Kimataifa,
+255 767 266 766,
Consolata.Adam@tz.sabmiller.com
Michael Mukunza,
Executive Solutions Limited,
+255 784 978 302,
m.mukunza@executivesolutions.co.tz
mikemukunza@gmail.com

Balozi hiyo kitu ina ladha ya asali? Inaelekea ni Bomba sana.
ReplyDeleteKuna wanyamwezi na wasukuma naona wanafurahia kweli kweli hapo Jamilla wa Changamoto na Kakake Victor Willy wa Radio Tumaini.
Mdau
Ankal, ukipata mualiko mwengine unitumie na mimi nipate kuonja maana juzi ilikuwa HOLSTEN POMEGRANIT, HOLSTEN MANGO, HOLSTEN EPO NA HOLSTEN KOMAMANGA. sasa leo hii ni Ladha gani???? Lazima tushibe mwaka huu. me Harusi yangu karibuni, No alcohol hapa ni mwendo wa Holsten, Grand Malt na mengineyo. ahahahah
ReplyDeletehizo ni kama kweli hazina kilevi basi zitakuwa zinadawa ambazo zinawakuza watu waje kuwa walevi baadae , kampuni za bia zinatafuta kila njia kupata wanywaji wengi
ReplyDelete