Eugène Ney Terre'Blanche
Tourists in T-Shirts that spell racial tension in South Africa

Eugène Ney Terre'Blanche
(January 31, 1941 – April 3, 2010)
He was a South African political leader. An Afrikaner, he was a former member of South Africa's Herstigte Nasionale Party who founded the Afrikaner Resistance Movement (Afrikaner Weerstandsbeweging, or AWB) during the apartheid era. During the 1980s and early 1990s, he became known for threatening civil war to maintain white rule in South Africa.

After the country's transition to non-racial democracy,

he revised his stance and urged his followers to push for independence in an independent Afrikaner homeland, which he frequently referred to as a "Boerevolkstaat". Terre'Blanche continued to lead the organization until his death.
Terre'Blanche, who had lived in relative obscurity since the collapse of his organisation,] was murdered on his farm Villana, just outside of Ventersdorp on April 3, 2010. He was reportedly beaten to death with pipes and pangas (machetes) while napping by two black males aged 28 and 15, allegedly over "a wage dispute".

Terre'Blanche's body was found on the bed with facial and head injuries, stripped half naked. Terre'Blanche is survived by his wife Martie and daughter Bea.

Ventersdorp police said two suspects were taken into custody over his killing; they have both been charged with murder. South African President Jacob Zuma, who followed up an overnight statement with a televised address called for calm and for "responsible leadership” following the murder, describing it as a "terrible deed"; and described the murder as "cowardly".

Zuma's words were echoed by the AWB and organisations including AfriForum and Solidarity. Minister of Police Nathi Mthethwa, Commissioner of police, Bheki Cele and other high ranking police officials, and politicians visited Terre'Blanche's family in Ventersdorp the morning after the murder, in order to express sympathy with his family.

The murder took place in the midst of a racial controversy in South Africa involving the singing of a song by African National Congress Youth League leader Julius Malema that includes the lyrics "Shoot the Boer".

The ANC, which had previously defended its right to sing the song, announced that it would consider a moratorium on the singing of the song, following the murder, in the interests of national cohesion. The murder would "inflame tensions" in South Africa, Democratic Alliance leader Helen Zille said.

Malema denied that the song had anything to do with the murder, and defended his singing of it, saying he was "ready to die", and that he was "not scared of Boers", in reference to threats, later retracted, that Terre'Blanche would be avenged. ANC leaders later announced a temporary ban on the singing of the song.

The two suspects appeared in court in Ventersdorp on April 6, 2010, amid racially charged scenes, and were charged with murder, robbery and crimen injuria, for injuring the dignity of Terre'Blanche by leaving his pants pulled down after killing him. Media allegations emerged that Terre'Blanche had sexually assaulted one of the accused. The AWB retracted earlier calls to avenge the murder, and President Jacob Zuma appealed for peace.

Thousands of people attended Terre'Blanche's funeral. It was held at noon on April 9, 2010 at Ventersdorp's Protestant Church. Later that day, he was buried on his farm. Terre'Blanche's murder has been linked to the ongoing attacks on farmers in South Africa.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. I bet Boers will wear these T shirts to protect themselves from the 'wrath' of true South Africans

    ReplyDelete
  2. Lakini kuna habari zingine ambazo tumezisoma kwamba mtu mzima alikuwa analazimisha "kazi" kwa jamaa yake ambaye ni mmoja kati ya hao walinzi. Zana za "kazi" zilikutwa ndani kwake tayari zimeishatumika na mwenyewe akiwa hovyo hovyo.

    Sasa hili linatokea wakati ambapo masuala ya ubaguzi yanaibuliwa upya katika jamii ambayo tayari ilikuwa imeanza kutengamaa.

    Kwa vyovyote itavyokuwa hili la ubaguzi litakuzwa zaidi hasa wakati huu ambapo kombe la dunia limekaribia wakitaka kusikilizwa kimataifa na kuungwa mkono na wenzao.

    Haya yote yanatokea kwa sababu ya purukushani za "Mtikila wa South", Malema - may be.

    ReplyDelete
  3. "Nimeswadikia Wahenga Mkuki kwa Nguruwe tuu ..."

    Wao walivyokuwa wakiua na kuwatesa manatives wa SA walikuwa wanaona sawa tu? Walimburuza activist wa watu nyuma ya gari mpaka akafa kwa majeraha! Mandela wa watu nae walivyomfunga walikuwa wanaona sawa? Na wale walioonyeshwa CNN majuzi ambapo polisi wa ki-boer alikuwa akiamuru mbwa wamng'ate m-native wa watu ambae sjui alikuwa mahabusu yule au sjui alikuwa kafanya kosa gani sjui la kizushi, tena huyo polisi wa ki-boer alikuwa akichekelea wazi wakati huyo m-native anang'atwa na mbwa, wao walikuwa wanaona sawa?

    Au hao wenzetu ni binadamu zaidi?

    Mi mtu angenikamatisha contacts za yule Dogo activist wa SA, somebody Malema sjui, ningefurahi! Maana naona we have a lot in common, haswa lile gari lake la US $ 750,000.00.

    Ni hayo tu Mzee.

    ReplyDelete
  4. This is the beginning of the end for South Africa. Mara nyingi hate does solve problem but put fuel into a problem. Wataua mzungu watoto wa kizungu watachukia wataua waafrika. Wengine wataondoa vitega uchumi vyao South Africa itakuwa kama Zimbabwe

    ReplyDelete
  5. mbaguzi huyu alikuwa GAY baada ya kuenda gerezani kwa kosa la kumpa kichapo mtumishi wa kituo cha mafutasalivorudi mtaani pia speed yake ilipungua kwani alikuwa chakula ya Weusi lakini hawa wenzie hawataki kukubali kama jamaa alibwaga manyanga na ni shoga nenda youtube Andika AWB utaona klip zao kibao za ubaguzi nyama hawa wale wanojisifu wameolewa na wazungu hawa ndo shemeji zao

    ReplyDelete
  6. This unrepentat boer probably got more than he bargained for.
    Is he not the die-hard racist resposible for killing 21 Africns in cold blood?
    Is he not the guy who once said Africans will rule SA over his dead body,and not in a 1000 yrs?
    Is he not the guy who advocated the notion that Afrcans were created by God to serve the white man?
    I am sorry for him that he did not have time to repent, but tempting fate to the extent he did is just plain STUPID.

    ReplyDelete
  7. yameisha wapi wakati wazungu kuko hao wanamiliki kila kitu wangewaau tuu mi naona sawa hasa ushatembelea ulaya na marekani au umeolewa na babu wa kizungu au umeoa bibi wa kizungu

    ReplyDelete
  8. Julius Malema aka south african's Mugabe,huyu kijana ni hatari sana,mbaya zaidi ana ushawishi sana kwa vijana wa south africa,Zuma alimbeba sana mpaka kufikia kudai atakua rais wa south africa badae,sasa anaanza kumuona liability kwa mustakabali wa ANC,Huyo ndio controversial Julius Malema.

    ReplyDelete
  9. hakuna sababu ya kuendekeza siasa za kibaguzi pande zote mbili,wote weusi au wazungu wenye kuleta haya matatizo ya kibaguzi washughulikiwe big time la sivyo nchi itaelekea pabaya na nina wasiwasi watakao suffer wengi watakuwa weusi....hakuna sababu ya kuangalia nyuma ndio maana kuna reconciliation,kumbukeni kuna wazungu wengi tuu walipigana na wengine kufungwa kama mandela ili kuondoa ubaguzi na walifanikiwa,ile nchi kila mtu ni muhimu na bila hao wazungu watakuwa Congo au Zimbabwe tuu,na yule kijana malema inabidi wamweke sawa la sivyo its Iddi Amin in the making na watajuta.

    ReplyDelete
  10. Wee Anon 14 : 01 : 42, wa wapi wewe? Mbona una-keep left?

    Na hao wanaoogopa kuwa hao ma-boer wataondoa vitegauchumi vyao, na waviondoe! Mtu huwezi kukubali kuwa mtumwa kwa ajili ati ya vitega uchumi? Kwanza for your info, wao wanatuhitaji sisi zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao. Wee unafikiri wataweza kuondoka waachie mi-gold na mi-diamond? Sio rahisi! Waafrika hatujaamua tu kuyavalia njuga haya maswala.

    Boli litachezwa tu, na kumalizika salama inshallah, tuzidishe dua. Haihusu!

    ReplyDelete
  11. karibia robo tatu ya uchumi na ardhi south africa inamilikiwa na wageni wa kizungu sasa kuna umuimu gani wa kuwa msouth africa hapa hakuna ubaguzi wa rangi hapa kuna ubaguzi wa mlo au cha kula mzungu hakuchukui kwa rangi mulo au pesa wewe

    ReplyDelete
  12. naomba niungane na anony wa hapo juu.hawa jama wanatuitaji kuliko tunavowaitaji wao.so tuandae future nzuri kwa kizazi kijacho.hawa viumbe weupe kila maitaji yao yote hutoka huku kwetu so tukibana miezi misita watakuja kuomba maukimbizi baraani africa kwa sababu ya njaa na baridi kali.so boeren mrudini kwenu uholanzi mkaombe ardhi kama mtapewa mlime kune ma boerderijen huko kwenu sio kuleta fujo hapa africa.viva malema

    viva malema
    viva malema

    africa ya mtu mweusi ulaya yao basi

    aluta continua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...