shughuli za ujasiriamali zimetanda kila kona jijini Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. What is "meck up"...?.
    Wow..Umm.Lol....!!!!

    ReplyDelete
  2. Owner wa hii salon yuko Houston Texas, mpiga maji mmoja hivi (Name with hold)

    ReplyDelete
  3. nmeipenda hiyo meck up!safi sana.

    ReplyDelete
  4. Bila shaka hayo ni maeneo ya soko matola!

    ReplyDelete
  5. Inasikitisha jinsi wajasiriamali wa bongo tunavyotangaza shughuli zetu kwa wana nji wenzetu waswahili - kwa lugha ya kiingereza...tehe tehe.. basi utayaona na mengine yanachosha zaidi... Kwa nini tusiandike kiswahili lugha yetu nzuri sana!!!
    nilikuwa huko wilayani Idodomya juzi nimeona jina la nyumba ya kulala wageni imeandikwa ''LOO GUEST HSE'' duh...

    ReplyDelete
  6. Mjasiriamali huyo, safi sana! Anamlipia kijana University huyo!

    ReplyDelete
  7. Unajua watanzania tunajua kuongea na maana ya maneno ya kingereza kama 'meck up'.Tatizo ni spelling.Hii inanikumbusha kuwa elimu ya darasa la saba haitoshi.Teh teh hee

    ReplyDelete
  8. ADILI NA NDUGUZEApril 10, 2010

    Inanikumbusha miaka ya 70 nilipita pale Karatu nikamkuta mzee mmoja wa Kipare akiwa na mgahawa wake ameandika hivi "ALL FRANDOS WELKAMOS TO RHOTIA RESTWARANT". Akimaanisha 'All friends are welcome to the restaurant'. Hiyo haina shida mradi wajasiriamali wanatangaza biashara zao. Hiyo ndiyo njia pekee ya kumeck up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...