abiria watarajiwa wakipatana bei na dereva wa bajaji maeneo ya sinza kijiweni jijini dar. pamoja na matatizo kadhaa ikiwa ni pamoja na taaluma haba ya waendeshaji pamoja na fujo wawapo barabarani, suafiri wa vibajaji ambao ni wa bei poa umeshamiri sana jijini dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona kuna mtu anaongeza nguvu ya kukalimani pembeni mayai hayapandi kwa dereva wa Bjaji lol

    ReplyDelete
  2. Hao wala Dog ni masikini sana hadi nauli za Daladala wanataka wapunguziwe kudadadeki, mi ningekuwa huyo deleva wa bajaji ningewapeleka kwa masela tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...