Vicky Kamata akiimba kwa hisia kubwa sanaVicky Kamata akilishambulia jukwaa wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kukichangia Chama cha Mapinduzi kwa nia ya simu za mkononi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni.
Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba akiwaongoza wanachama wengine wa CCM kumpongeza msanii Vicky Kamata alipotumbuiza wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kukichangia Chama cha Mapinduzi kwa nia ya simu za mkononi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni.Kampeni hiyo ilizinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
wanachama wa wakimtunza mwimbaji Vicky Kamata alipotumbuiza wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kukichangia Chama cha Mapinduzi kwa njia ya simu za mkononi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni.
(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...