"Bikira Yangu" ni riwaya inayoangaza maisha ya kabla na baada ya ndoa. Ni riwaya inayosawiri maisha ya ujana na matokeo yake baada ya ndoa...Regina anasema "mume wangu lazima nikuue leo... Nakumbuka ulishindwa kila kitu siku ya kwanza ya ndoa yetu. Hata hivyo unashindwa hata leo. Ufanyavyo sivyo wenzio wafanyavyo..."

"Wito Wangu, Imani Yangu" ni masimulizi ya kweli yanayohusiana na wito na imani ya mwandishi Padri Privatus Karugendo ambaye alikuwa Padri wa Kanisa Katoliki la Rulenge, ambalo siku hizi linaitwa Rulenge-Ngara, hadi mwaka 2000, alipokosana na Askofu Severine Niwe Mugizi kwa magomvi binafsi.

Vitabu hivi sasa vinapatikana katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania
Musoma – Siroli Simba
Dodoma na Mwanza –Victoria
Mbeya – Nyambari Nyangwine Bookshop
Iringa – Lutengano Bookshop
Moshi – Swailucs Elimu Supplies, Ebenezer Book Center, Crane Craft Shop, Christian Bookshop
Arusha – Kase Stores Ltd
Dar es Salaam – Nyambari Nyangwine Bookshop maduka yaliyopo Likoma St, Mkunguni St, Sinza na Mwenge

Kwa wanunuzi/wauzaji wa jumla piga namba
0715959513 / 0767959500
au 0715317966 / 0754317966
kwa wanunuzi/wauzaji wa
mikoa ya Kanda ya Kaskazini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Chonde chonde Karugendo, usitafute umaarufu kwenye blog yetu ya jamii! Hivi huo uandishi ulisomea chuo gani vile? Mh, ninahisi ni namna tu ya kuganga njaa! Matatizo yako na Askofu yanatuhusu nini sie watu baki???

    ReplyDelete
  2. Tuwe wastaarabu katika kuchangia, huyo anonymous wa 1 huenda akili zake sio sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...