
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akipokea msaada wa nguoazi kutoka kwa wawakilishi wa waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro hivi karibuni wilayani Kilosa. Wanahabari waliotoa msaada huo ili kuunga mkono juhudi za wadau mbalimbali za kuwasaidia waathirika wa mafuriko ya Kilosa ambao bado wanaishi katika Kambi baada ya makazi yao kuharibiwa na mafuriko. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Kilosa
Hongereni na Mungu awazidishie. Tuzidi kuwa na moyo huu huu wa kusaidiana sio kusubiri mpaka watu watoke nchi za nje kuja kutugawia nguo. Wakati tunaweza kutoa sharti moja ambalo hatulitumii na kumpa mwenzetu....
ReplyDelete