Tullow Oil Says Likonde-1 Well in Tanzania Results ‘Encouraging’
April 1 (Bloomberg) -- Tullow Oil Plc said
the Likonde-1 oil well in southern Tanzania
encountered thick sands containing
hydrocarbons, a result it called ‘encouraging.’
aCFMrnR_Unv0&pid=20601087

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hahahahahahahaah.

    ReplyDelete
  2. SASA MTAWAONA WAKUBWA WAKIJIDAI ETI MTWARA HIKI MTWARA KILE, NDO YALE YALE YA MAMBO YA MAENEO YA DHAHABU HUKO, MUSOMA, SHINYANGA, MWANZA, WENYEJI WANAKUFA VIGOGO WENYE SHARE WANANEEMEKA. KAMA YAPO BASI PROFIT IWASAIDIE MAENDELEO WENYEJI WA HUKO JAMANI ANGALAU TUMUOGOPE MUNGU TUSAIDIE WENZETU JAMENI!

    ReplyDelete
  3. Ankal habari za shughuli na pole kwa kazi.Ombi langu mimi ni moja tu na wala si maoni, naomba unitundikie ile picha ambayo umepiga wewe na Mzee JK kwenye mtumbwi huku wewe ukila fegi, aisee ile picha naipenda sana. Na hapohapo nawazo kwanini usitoe kalenda zako ukaziingiza sokoni? Walai wadau kibao watazinunua mzee manake huwa kunapicha zingine ni nzuri sana na zinaburudisha.

    ReplyDelete
  4. WESE LIGUNDULIKE MARA NGAPI?WATA WAMESHAKULA WAMESHIBA NDIO MNAITWA KULA,,HUU NI UJINGA NA UZUMBUKUKU WA KUTAFUTA SHUKA SAA TATU ASUBUHI

    ReplyDelete
  5. siku ya wajinga ilishaisha bwana..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...