MUSSA HASSAN MGOSI ANAIPATIA SIMBA BAO LA 3 BAADA YA KUIPANGUA NGOMA YA YANGA KATIKA DAKIKA 74.
HIVYO NGOMA HIVI SASA NI SIMBA 3 YANGA 2
YANGA WANACHEZA 10 BAADA YA WILSON NDHLOVU KUTOLEWA KWA KADI NYEKUNDU. MUSSA HASSAN MGOZI ANA BAO 16 DHIDI YA MABAO 14 YA MRISHO NGASSA
Safi Mgosi tupe rahaa
ReplyDeleteIlani ya Mgosi ilikuwa na ahadi ya kuwa"Messi" Jangwani. Ameshaitimiza.
ReplyDelete