We carry products for MEN and WOMEN THAT ARE GENUINE, OF HIGH QUALITY AND AT REASONABLE PRICES.

Our specialty is in COSMETICS AND FRAGRANCES.
Our regular customers particularly value
THE QUALITY AND AFFORDABILITY OF OUR PRODUCTS.

LOCATION #1:
Shekilango Rd; SINZA MAPAMBANO "MADUKA YA BLUE",
BESIDE LILY'S BAR AND OPPOSITE TO UTOJI HALL

LOCATION #2:
MIKOCHENI KARIBU NA KWA MWALIMU-
JUED BUSINESS CENTER
Directions:
Kutokea Rose Garden, ukifika TALK of the TOWN tuko jengo linalofuata linaloangaliana na Saleeka Apartments. Pembeni mwa ARISE BEAUTY SUPPLY kuna ATM ya CRDB. Ukienda mbele kidogo unafika kwa Mwalimu. http://www.arise-tz.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2010

    Haya ndo matatizo ya mipango-miji ya kimbugilambugila.....NO STREET, NO PROPER DIRECTION.....Lakini Mungu mkubwa tunaelekezana hivyo hivyo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2010

    Wajameni kiinglish kikitushinda, basi tuandike kiswahili....

    We carry products...?

    Pia huwezi kusema "we are opposite to..." to hapo si mahali pake; ungeweza kuitumia ukiandika "we are next to.." na mengine mengi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2010

    Kwa kweli hili duka linauza vipodozi genuine na bei zake ni nzuri.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2010

    @ #2 don't do that please...what is wrong when someone says "we carry"...it's just another way of saying whatever you wanted them to say..and if you live in UK all ur life or u're used to dictionary english don't kosoaring people before you move around....There's a whole big world out there..

    If You Have Nothing Good to Say Please Say Nothing

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...