Home
Unlabelled
cheka unenepe: 'mishkaki' vietnam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vietnam wanatisha kibongo bongo haitufai ajali hazatisha.
ReplyDeleteIla iyo namba 1 si dhani kama waliweza kuendesha pikipiki maana wamezidi.
Swali: hivi katika mshijaki nani uwa ana-enjoy abiria au dereva
ReplyDeleteMi naona kama ulivyozipa Namba 1 hadi 4, sababu Mshikaki Namba 1 kuna watu 8 na Namba 2 watoto 5,hiyo mingine haitishi sana.
ReplyDeleteHee? Ama kweli tembea uone. Afande Mpinga na kikosi kizima cha Traffic Tz mmeona hiyo?
ReplyDeleteJAMANI HIZO PIKIPIKI ZINAPIGIKA HUKO VIETNAM LOOH YAAANI WEWE ACHA TUU
ReplyDeletePanga pangua jamaa wakojuu. Pamoja na shida lakini jamaa hawa wanadhanira ya juu na uthubutu uliopea wanapofanya vitu vyao. Hapo lazma maendeleo yawatembelee
ReplyDeleteMungu ibariki Bongo na blahblah zetu.
Naona watu mmenotice tu hao walivyppakatana lakini je mmeonabarabara zao na jinsi kulivyo kusafi...Look beyond the picture what you thingk you see...Zote hizo picture naona kwa mbali ni kusafi na barabara zina afya...Hazina pot holes kama zetu na kupauka kama vile mvua hainyeshi bongo....
ReplyDeleteyani mimi nikua najua ni bongo tu ndio tupiga na jua kumbe hata kwa wenzetu huko,ee daa hii kweli kali
ReplyDeletemdau kutoka
usa