Dar inazidi kubadirika. hapa ni mtaa wa samora avenue

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    Ni kweli, hata Mbagara pamebadirika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2010

    pamebadiRIka sana..... LLLLLLLLLLLLLLLLLLL

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2010

    Nyie wabongo mnamatatizo kweli sasa mnataka miaka nenda rudi kusibadilike kuwe vile vile tunaenda mbele haturudi nyuma hata hiyo mabadiliko yamechelewa sana tangu uhuru tulikuwa tunatakiwa tuwe mbali sana na miundombinu ya uhakika mpaka sasa hivi hakuna hata HIGHWAY MOJA ni msongamano mtu.
    Na tusifurahie kubadilika kwa majengo tufurahie kama maisha ya mtanzania yatabadilika na kuwa ya nafuu hayo ndo mabadiliko halisi sio kubadilika kwa majengo tu na hayo majengo yamebadilishwa na wawekezaji wageni na ndo wanaenjoy life.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2010

    We mdau hapo juu acha zako! kwani Mbagala ni mfano kwa uchovu, kule kuna watu wana akili kuliko wewe!!!!!! Kaa kimya kama huna cha kuandika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2010

    Nafikiri uliye post hiyo image ungekuwa more specific kwakusema Dar imezidi kuharibika. Hizi ghorofa uchwara zinazojengwa kila kukicha hazina life span ya miaka 10, wengi mtashuhudia na macho yenu na huenda wengi zikawa au kutu cost maisha yenu au yetu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2010

    mimi nimefurahi kwakweli kwa mji umeonekana safi ni vema tuendelee na utaratibu huu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2010

    Ni kweli namuona muuza karaga anapita ktk pavimenti.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2010

    Typo, samahani, ni "DAR MATAJIRI WANAZIDI KUTAJIRIKA ILHALI MASIKINI NA MWANAWE"

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2010

    Naona kuna 'wingu' tu hapo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2010

    Mimi nimeshangazwa na huo mlingoti wa bendera hapo Mahama Kuu. Mbona mlingoni upo kama ukuni umeokotwa porini tu?, maana hata kule kwetu nguzo za kujengea nyumba na fito huwa zimenyooka. Kwa nini wasiweke mlingoti wa chuma? au Budget?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2010

    Ankal naona umekosea spelling, sio 'Kubadirika' ulitakiwa utumie swahili fasaha yaani 'Kubadilikanga'

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 26, 2010

    Mdau uliyesema tz "mpaka sasa hivi hakuna hata HIGHWAY MOJA" nadhani au hujui maana ya highway au ulikuwa unataka kusema expressway. Tz highways zipo kibao tu ila tunakosa express ways.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 26, 2010

    Duh! sasa wewe ndau unayesema hapo ni mahakama kuu unachemka! halafu unajiandikia tu bila wasiwasi. mtaa wa Samora hakuna mahakama kuu. Hilo jengo unalolisema ni la TRA. ukitaka kulipia road licence yako na mambo mengine unakwena hapo siku hizi. Tafakuli kabla ya kuandika bana!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 26, 2010

    kumebadilika nini?? hako ka mtaa kamoja au ilo jengo kupakwa rangi? wakati maji hakuna,mbu kibao ,kazi za shida watu wajinga,kelele,majambazi,ajali kibao watoto wananyanyaswa watu wananuka jasho cjui hawaogi ovyooooooooooooo

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 26, 2010

    Jamani sisi tupo hapa Dar...hiyo Camera tu...hamna chochote wala nini...hilo ghorofa la vioo la NHC ukiliona laivu mbona utachukia ? poor workmanship as usual. Yaani huo uzuri ni wa picha na upigaji mzuri wa Mithupu kama picha za magazeti ya Kiingereza zamani mtu unaweza ukadhani ulaya kuna wingu ni la brown.....Bongo uchafu tu anayedhani kusafi si kweli....barabara mashimo matupu katikati ya mji...Nimepita sasa hivi Samora mti umeanguka barabarani karibu na junction ya Samora/Morogoro Road tangu mchana haujatolewa....basi kasheshe tupu.

    ReplyDelete
  16. hamna cha kubadilika chochote, kunazidi kudidimia tu, km mdau wa juu alivyosema, mji ni mchafu kupindukia km hakuna watendaji. Kwa majengo kweli yanachipua kila kukicha, lkn miundombinu ya barabara na maji taka bado ni ovyo kabisa, mji unanuka.... bora hata tulivyokuwa miaka ya nyuma. Nyinyi mlio nje ya bongo ni vyema mje hapa kipindi cha mvua ndio mtaijua vizuri bongo km inaenda mbele, inarudi nyuma au imesimama.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 26, 2010

    Ha ha ha ha !!! Duh jamani mbona mna hasiraaa namna hii, naona mnapaaaaka ile mbaya mnamwambia nani hasa, yaelezeni hayo mazee yenu huko mawizarani kila siku yanaenda kazini sijui yanafanya nini yanashindwa hata kuplan miji mifoleni kibao, miuchafu kibao, yakiambiwa yasitaafu yanafoji umri!!! Kisa yakiwa kwenye foleni yanafunga vioo full kipupwe! mafuta si yananunuliwa na pay as you earn zetu. Yakifika ofisini kusoma magazeti tu na kusubiri trip yaongozane na rais. Hovyoooooo ile mbaya.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 26, 2010

    Mkuu wa mkoa is very proud hata msemeje, kwa mtazamo wake anachapa kazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 26, 2010

    KUBADILIKA KWA KUJENGWA MIJUMBA MIREFU HAKUMSAIDII MLALA HOI KUPATA KULA MAANA HALI YA MAISHA NI BADO MBAYA

    NA KWA UPANDE WA PLAN YA NCHI KWA KWELI WAMECHEMSHA MAANA HATA MITAA YA KARIAKOO MIJUMBA MIREFU INASHINDANA

    SASA TUANGALIE JE KUNA PARKING ZA MAGARI?

    JE KUNA NJIA ZA MAJI TAKA NA MAJI SAFI ZA KUTOSHA?

    JE KUNA UMEME WA KUWEZESHA KUFIKISHA HUDUMA KWENYE HAYO MAJENGO?

    JE IKIWA UMEME HAMNA HAYO MAJENGO HAYATOSABABISHA KUWA KAMA MSITU WA AMAZON?

    JE KAMA UMEME HAUPATIKANI MIJENERETA ITAKAYOTUMIKA KWENYE HIYO MIJUMBA HAITALETA MAUDHI KWA JAMII?

    JE KILA ATAKAEKAA KWENYE HIYO MIJENGO HATOKUWA NA GARI? KWA MAANA KILA MPANGAJI 1 AKIWA NA GARI 1 INA MAANA PARKING ITAKUAJE?

    JE MIJUMBA KAMA HIYO IKIKOSA KUPITISHA MAJI TAKA KWENYE NJIA ZAKE MAJI TAKA YATAENDA WAPI?

    IKIWA MAGARI SIKU HIZI MJI MZIMA YAMEKUWA KAMA NYORORO KWA MAANA YAMESHIKANA HAKUNA NAFASI YA KUSOGEA MBELE JE HAITAKUWA SHIDA?

    JE SERIKALI ILISHINDWA NA NINI KUVUNJA BAADHI YA MAJUMBA YA SERIKALI NA KUGEUZA UWANJA WA PARKING ZA MAGARI?

    JE WAKAZI WA MAENEO HAYO HAWANA WATOTO?

    JE KAMA WANA WATOTO WAMEWEKEWA MAENEO YA KUCHEZEA HAO WATOTO?

    JE NI LAZIMA HUDUMA ZOTE ZA SERIKALI ZIWE NA OFISI ZAKE MJINI?

    MAANA KILA ANAETAKA HUDUMA ZA SERIKALI NI LAZIMA AFIKE HUKO MJINI AIDHA KWA BUS AU KWA GARI YAKE SASA KWELI FOLENI ITAISHA?

    INASIKITISHA SANA KUONA MJI UNAFUNIKWA NA MIJUMBA AMBAYO KATIKA MIJUMBA 10 BASI 7 ZIMEPINDA YANI ZIMELALA UPANDE KWELI SI HATARI KWA MAISHA YA WANA JAMII?

    mdau wa mahakama kuu ya dunia nawakilisha.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 27, 2010

    Kumebadilika? Au tumebadilika sisi Katika kutazama na kuona. UJINGA WA WETU SISI WABONGO NI KWAMBA TUNAPOZUNGUMZIA MABADILIKO TUNATAZAMA TU MAENEO YA WAKUBWA HAPO MJINI.HATUANGALII DAR KAMA MJI MZIMA. BASI NAMWALIKA HUYO MWENYE MACHO AENDE BUGURUNI, ILALA, MWENGE, VINGUNGUTI, TABATA, MANZESE KINONDONI, MWANANYAMALA, TEMEKE NA MAENEO MENGINE ZAIDI YA DAR ..HALAFU AANDIKE KUWA BONGO KUMEBADILIKA....! TULETEENI PICHA ZA MAENEO HAYO... KWELI TUMEBADILIKA HATA HATUWEZI KUUONA UKWELI!!!
    MDAU
    RIZIKI, ROMA

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 27, 2010

    We anon wa Wed May 26, 03:57:00 acha kung'aka ni kwamba hujamwelewa mdau wa kwanza ni kwamba - kakumbushia wimbo wa mbagala wa msanii diamond ukisikiliza wimbo ule mbagala ameitaja - mbagaraaa ndo mana ya kuandika vile na hana mana ya kuwasanifu watu waishio mbagala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...