NBA player Hasheem Thabeet joins other prominent figures to present awards to winners of the Kili Tanzania Music Awards May 14, 2010 at the Diamond Jubilee hall in Dar es salaam
Home
Unlabelled
Hasheem Thabeet at Kili Tanzania Music Awards gala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera sana man kwa kumtia adabu TID! Mtama ulikuwa safi sana.... Hata mimi angenitukania mama yangu ningempa mtama tu....!
ReplyDeletemore videos plz kaka !!!
ReplyDeleteme na mwanangu UBY wala hatujaelewa vidhuri.Hashimu kasimama hapo kukabidhi dhawadi ama kupokea?
ReplyDeleteKhaa nakuona mzee wa "mtama" mwenzio sijamuona hapa naona bado yuko kitandani anaugulia au bado amezilai?
ReplyDeleteKama humjui Haruna Moshi 'Boban' ni sawasawa na wewe kusema humjui Kobe. 'Boban' amaekuzidi kwa mbali sana eti unadai humjui. Kama humjui Mgosi ambaye ndiye mfungaji bora sasa umemjuaje Kaseja au kwa jinsi alivyopigwa bao 5?
ReplyDeletePongezi zangu kwa kutochanganya lugha siyo kama huyo jamaa uliyemtunuku. Hongera sana Hasheem.
ReplyDeleteMICHUZI IAM VERY STRENGTH TO SAID BIG UPS HASHEEM YOU WAS STANDING TALLEST THERE THERE HOME IN DAR WITHOUT ANY TORRANCE OF NO BODY SINCE IAM HERE IN CANADA LIGHT NOW I STILL DIDN`T KNOW HOW IS DAR IS CONCERNED THAT WE CAN NOT AFFORD HAIR CONDITION WE USED FAN ON THAT KILI AWARD WHILE WE KNOW OUR ONLY CELEBRITY HASHEEM ARE VERY TALL, WITH MY MASTERS IN MATHEMATICS I COULD SAY IS VERY SPONTANEOUS. ANYHOW GO HASHEEM REPRESENT HOME MAN AND GOD BLESSED YOU SANA TU.
ReplyDeleteHongera sana Hasheem, Ujumbe wako unabeba maana kubwa sana hasa katika mchezo wa soka. Ukweli hata mimi wachezaji wa bongo siwajui, mara ya mwisho kuingia mpirani bongo ilikuwa 1994 au 1993 kama sikosei wakati wa fainali ya Simba na Stella Abidjan.
ReplyDeleteLigi ya bongo haivutii kabisa hata kuangalia labla uwe MNYWA KAHAWA ndiyo utawajua wachezaji wa bongo kupitia stori za kwenye vijiwe vya kahawa. Ni wakati sasa TFF ipromote mpira na wachezaji wetu vinginevyo tutaishia kuwa mashabiki wa CHELSEA, MANU ARSENAL, REAL MADRID, BARCA and the like.
Halafu wewe unayesema BOBAN Kamzidi HASHEEM sounds like TID unaendeleza BEEF, utafanishaje Football na Busketball? ni kama hoho kuita nh'onh'o
Big Up Hasheem,mtama wa kushiba,yaani jamaa pamoja na kwenda Uk bado ushamba haumtoki,anajifunza nini sasa?,ingekuwa yeye kamuona Rihana asingependa kumsalimia?wanawaonea tu dada zetu,.,.watu wengine bwana, baada ya kuanzia na Gongo uswahilini then safari ya kusukutua alafu taabu tupu.Ebwana Tall eeh,next time piga Kata-funua au Tanganyika jeki,Mtama utaua kaka.
ReplyDeleteHata mimi siwajui wachezaji wa Tanzania, maana ktk magazeti na blogu za bongo, waandishi/bloggers huwa hawana kawaida ya kuvitaja vikosi kamili( wachezaji kumi na moja) ktk picha zinazowekwa ktk magazeti/blogu, na huu upungufu wa habari pia sio kwa timu ndogo pia hata kwa habari za timu za maarufu za simba/yanga/ taifa n.k.
ReplyDeleteMatumaini ni kuwa blogu ya jamii itaanza kutundika picha na majina ya wachezaji wetu wa bongo na wengine bloggers/magazeti watafuata mtindo wa kuwaenzi wachezaji wa timu na sio Kaseja au Mgosi tu.
Mdau
Ughaibuni Ulaya.
Wewe Mpalang'ombe akili yako haina akili. Kama wachezaji wa bongo huwajui na sasa umewezaje kumfananisha Boban na Hasheem? Na mwaka 1994 kulikuwa hakuna TFF inaonyesha wewe unajua kila kitu lakini unataka kupotesha ukweli. Sasa Hasheem kamzidi nini Boban? Na Busketball ndiyo mchezo gani? Ni basketball. Na kwa taarifa yako hakuna muda katika historia ya mpira nchini mwetu watu wanaenda kuangalia mpira wa miguu kama miaka mitano iliyopita. Kama ligi ya bongo ni mbovu ni kwa nini mastaa wote wa Afrika ya mashariki wanacheza soka bongo? Au unataka nikutajie majina? Ngoja niachie hapo kwani kama mastaa wa bongo tu huwajui sasa utawajuaje wa Kenya?
ReplyDeleteWEWE UNAYEJIITA PETER NALITOLELA INGAWA NAJUA UNATAKA KUMCHAFUA TU JAMAA. MICHUZI HIZI MSG NYINGINE UWE UNAZIZIBA TU. HASHEEM SIYO MTU MREFU KULIKO WOTE BONGO. KUNA JAMAA ANACHEZA KIKAPU BONGO NI MREFU KULIKO HASHEEM. NINGEKUWA NA PICHA NINGEMTUMIA MICHUZI ATUWEKEE TUONDOE UBISHI. ALSO, HASHEEM IS NOT THE ONLY "CELEBRITY" IN BONGO. MAYBE I DIDN'T UNDERSTAND YOUR ENGLISH.
ReplyDeleteMichuzi tuwekee hiyo picha ya jamaa mrefu kuliko Hasheem
ReplyDeletehttp://www.jambonetwork.com/blog/?p=60744
wakati hashim anatoa spichi africa wenzie wananoa upanga wa kuzidi kubakia NBA na pia kutafuta njia zingine za kujiuza vizuri wakati kontract zao zikiisha. I dont think if he is serious and i wont be suprised if they dont renew his contract. I sometimes wonder who his managers are!!
ReplyDeletekwa kutizama hiyo spichi yake nimeona anawaiga macelebrity wa huku ulaya kuwashukuru wazazi na nini ambayo si mbaya, ila ukitizama sana utaona shule ni muhimu. jamaa anahitaji bado mwongozo. anaongea huku anajishika mdomo na mawani yako juu sijui hata aliyemshauri kuvaa hayo mawani nani. kuna watakaoniponda ila angalia spichi za kama mwalim JK (RIP) au walio hai Bill clinton, barack obama, wa huko nyumbani mheshimiwa raisi wa zamani, Mwinyi na hata mKapa, nk wakiongea wanaonyesha wako "confident" na pia hutawaona wakijishika pua, mdomo, kutia mkono mfukoni na nini na ndio maana wakitoka ofisini wanakuwa wanaalikwa kufanya spichi kwa kulipwa tena si pesa ndogo, (nimeondoka muda nyumbani so sijui mheshimiwa JK anavyotoa spichi, huko ila nilibahatika kumwona alipokuja marekani na kutoa ile spichi ya pasipoti mbili niliona ni mzungumzaji mzuri ambae anatoa hata jokes za hapa na pale. kwa kifupi hiyo spichi yake hashim ni "Boring" sidhani kama wachezaji itanivutia kuja kufanya chochote.
ReplyDeleteGrizzlies' Thabeet didn't knock out R&B singer, PETER NALITOLELA SAID......!
ReplyDeleteMemphis Grizzlies center Hasheem Thabeet(notes) was out at a club last weekend with his three bodyguards and some kind of scuffle happened in another part of the place. He supposedly was removed from the club but then got to hear later that not only was he supposedly involved in the little tiff, he had apparently knocked out R&B singer T.I.D.
Thabeet's agent is saying that his client was in a private part of the club when the fight broke out and had absolutely nothing to do with it, according to Fox TV in Memphis.
The agent is thinking that T.I.D. wanted some publicity and some extra airtime on the radio.
KUWA MREFU SIYO KUWA CELEBRITY HASHEEM THABIT IS A CEREBRITY AND NAMWUNGA MKONO NALITOLELA HE MIGHT BE THE ONLY TANZANIA CELEBRITY I MEAN RECOGNIZABLE IN THE GLOBAL WENGINE KAMA KINA MICHUZI NALITOLELA MIMI KINJE LIZIWANI NA LUSAJO TUNAJULIKANA HAPA HAPA BONGO LAKINI HATA BUJUMBURA HATUJULIKANI SORRY MICHUZI ANAJULIKANA. SASA KUHUSU UREFU HUYO MTU MFEFU KULIKO HASHEEM NAFIKIRI WAPO WENGI TU, LAKINI HASHEEM IS KNOWN NOT ONLY IN USA BUT NOW IS LIKE A TRADE MARK OF TANZANIA LIKE GRODBA WA IVORY COAST AMA LEBRON MAREKANI BECKHAM ENGLAND SASA HUO NDIYO UCELEBRITY NINAOONGELEA MIMI NA PETER NALITOLELA, KAMA KINA KUUMA BASI MEZA WEMBE UKWELI NDIYO HUO JAMAA CELEBRITY HALAFU MBAYA ZAIDI KA PUNCH LIFEEEEE..... HASHEEM ENDELEZA MITAMA SANA SANA MPAKA KIELEWEKE!
ReplyDeletewe unaejiita peter nalitolela ni non sense kabisa aisee, is that the best english u can write!!?? can imagine how much did u pay for ur degree... nawewe jamaa hapo juu unaedai hasheem sio mtu mrefu kuliko wote bongo then what?? who cares bout that,who plays in NBA any way.
ReplyDeleteAnon May 16, 09:03, unaemkosoa mwana Mzumbe mwenzako, nawe hebu toa boriti ama sijui kibanzi kidogo basi.
ReplyDeleteSidhani kama ni sahihi uliyoandika hapo "... Can imagine how much DID U pay for ur degree ... ", nadhani ingetakiwa useme "... Can imagine how much U DID pay for ur degree ..", ama "... Can imagine how much YOU PAID for ur degree ...".
Pili, ukiona Nalitolela ameandika kiingereza sahihi, basi ujue ame-copy na ku-paste kutoka kwenye makala fulani (ana-desa kutoka kwenye articles za watu). PLAGIARISM man!
I DID NOT COPY AND PASTE I THINK MOST OF YOU ARE DUNDER HEADED CAN NOT UNDERSTAND SIMPLE ENGLISH I CHOSE TO WRITE THAT KIND OF ENGLISH NOT BECAUSE I DON`T UNDERSTAND IT BUT BECAUSE I WANT TO MAKE FUN OF IT, BUT BECAUSE MANY YOU WHO READ MY COMMENTS THINK I AM STUPID I JUST WANT TO LET YOU ALL KNOW THAT GROW UP AND GET LIFE, WHAT I HAVE SEEN HERE THERE ARE SO MANY YOYO BOYS WHO ARE JUST TRYING TO MAKE OUR ONLY CELEBRITY HASHEEM FAIL, BUT I TELL YOU WHAT THE DUDE IS STANDING TALL HE WILL NEVER FALL NOR FAIL, AND I WILL CONTINUE TO WRITE ENGLISH IF YOU THINK I AM NOT EDUCATED NOR DON`T UNDERSTAND ENGLISH WHY DO YOU CRITICIZE ME IN KISWAHILI? WHY DON`T YOU DO LIKE ME WRITE IN ENGLISH SO THAT OTHER PEOPLE CAN CRITICIZE YOU TOO.I AM A FUN OF HASHEEM AND I THINK SOME OF YOU PEOPLE NEED TO GET MITAMA FROM HIM MAY BE YOU WILL RESPECT HIM NEXT TIME. I HAVE DONE A LOT OF DEBATES WHILE I WAS IN MUZUMBE AND CANADA AND NOW HERE IN DAR SO I AM NOT STUPID TO COPY AND PASTE, WATCH OUT !
ReplyDeletecpwaaa hongeraaa kwa kuinyakua tunzo uko safi hasheem uko cool bora umewakumbusha kuhusu michezo na nyie mnaomponda ni wivu tuu na dhiki zinawasumbua kuiga watu wote wanaiga nkwa nini asimsifie mamake? kama we huwezi macelebrity wa ukweli wanaweza utajibeba mwaka huu piga boksi hadi kieleweke hasheem kakuzidi wewe na ukoo wako wote
ReplyDeleteHuyo TID anakihelehele sasa anafurahi eti amepigwa mtama na Billionare wa shilingi wa Tanzania sasa kila corner anajisifia lol!
ReplyDeleteDuu huyo PETER NALITOLELA sijawahi ona maisha yangu yooote broken English kiasi icho!! hiyo ni nooma alafu anasema anaishi Canada na ana Masters ya mathematics. huko Canada wanakuelewa kweli? na thats if u are really in Canada au unatuzingua.
ReplyDeleteAnkal, umenibania comment yangu niliyorudi huyo Celebrity wenu Hashimu Thabiti. Sawa. Ila kitendo alichokifanya cha kumpiga T. I. D kama ni kweli, si cha kiungwana, na ni kinyume na maadali, haswa ukizingatia wahusika wote ni watu maarufu, na zaidi ya hapo T. I. D ni mashuhuri.
ReplyDeleteInaleta picha mbaya kuona mtu kama Hashimu ambae amejihusisha na utovu wa nidhamu, bado anapewa shavu kujishughulisha na mambo ya kijamii tena ya wazi, kama kutunuku watu tuzo. Tunafundisha nini watoto? Kwamba kupigana mitama ni sawa tu, tena ukimpiga mtu mtama utapewa na kahongera cha kutunuku watu tuzo?
Haijatulia hata kidogo. Ingebidi hili suala litatuliwe kwanza, na hatua husika zichukuliwe, ndio huyo jamaa wa basketball aweze kuruhusiwa kushiriki tena kwenye mambo ya kijamii. Kwa lugha nyingine ingebidi awe BANNED kama fundisho! Mbona T.I.D yeye alichukuliwa hatua za kisheria?
Hashimu Thabiti, hembu usituletee umarekani wako hapa. T.I.D, pole sana, ikibidi nawe fungua kesi ya jinai.
Ndimi,
Handsome Boy wa Uswiss.
Na hii pia ibanie pia basi, Ankal.
lets not tolerate any type of violence. TID please forward your case to the small claims courts. Justice must be served.
ReplyDeletemdau north america
yaani huyu hashim badala ya kuonyesha mfano mzuri anafanya vurugu? tatizo ni sie wenyewe tumempa kichwa ndio maana anaanza kudharau wenzie, hata kama kuna kosa si angeuliza tu? story inaonyesha kumiss kitu naona kama kawaida kuna upande wa hashim, upande wa tid na upande wa mashaidi kama mnataka tu kuwa kwenye news please tafuteni njia nyingine na kama kuna vurugu kweli please nendeni mahakama ndogo. Hashim kama pesa ndio zinakuzuzua tafadhali jicheki tena. kumbuka aliyekuwa juu...
ReplyDeletekwa waliomponda peter ntolela? kwakweli kiingereza chake sio kibaya ni afadhali hivyo alivyoandika mtu unaelewa kushinda wale ambao wanajifanya wamarekani wanaandika vitu ambavyo hata huelewi nini wanasema. Siku za nyuma niliwahi kuwaomba watu waandike kwa kutumia luga ya taifa manake hatuelewi pointi yao ni nini.
ReplyDeleteGoodjob peter ntulila, endelea hivyo hivyo wala usibadilike, english yako ni safi kabisa.
NALITOLELA you said:
ReplyDeleteI AM A FUN OF HASHEEM AND I THINK SOME OF YOU PEOPLE NEED TO GET MITAMA FROM HIM MAY BE YOU WILL RESPECT HIM NEXT TIME.
_____________________________
1) English please: Fan and not Fun
2) Are you trying to encourage violence?
ambae anaandika vizuri king'eng'e na kuandika ni michuzi peke yake wengine wote kaeni pembeni.
ReplyDeleteO.O
ReplyDeletenilikuwa sijui watu bado wanapigana siku hizi!! kwa huku ulaya hizi si habari nzuri manake zinaweza kukuharibia kila kitu. enewei tutajifunza kwa makosa yetu.
Wewe anon wa Sun May 16, 01:07:00 AM
ReplyDeleteUnavuta KANGULENI?(Bangi ya kwenye kibuyu inayochangwa na mavi ya kuku). Wewe Hasheem mwenyewe kishasema wachezaji wa Soka anaowajua na wawili, na wewe ukaja ukasema pia na Boban ni mwanasoka sasa mbona hueleweki?. Kuhusu busketball nimefurahi umeelewa kuwa nilikuwa ninamaanisha hivyo ulivyoelewa wewe.
Mimi sina taabu na kuitwa kuwa sina akili kwani akili zangu nazijua mwenyewe. Ila ukweli utabaki palepale kuwa wachezaji wa bongo hawajulikani kwa sababu nilizotoa.
Unajua katika dunia hii mungu kaumba wanadamu wa aina nyingi sana wengine huwa wana uwezo finyu wangine uwezo mkubwa na wengine wa kati. Kubishana na watu kama wewe ni sawa na KUMFUKUZA MWENDAWAZIMU ALIYEKUCHUKULIA NGUO WAKATI UNAOGA
I AM STILL FUN OF HASHEEM NOT FAN AND IF YOU DON`T LIKE THEN EAT MY HOT DOG HASHEEM IS THE ONLY BILLIONARE UNDER 25 YEARS OF AGE AND I AM SAD THAT MOST PEOPLE INCLUDING YOU WHO CRITICIZE ME HAPO JUU DON`T LIKE, BUT HE IS A BILLIONARE AND THAT WILL REMAIN JUST LIKE THAT HE GOT A LOT OF BILLIONS OF SHILLINGS HE CAN MAKE YOU HOUSE BOY IF NOT GARDENER WITH YOUR UD OR IFM DEGREE. SO PEOPLE LIKE TID WHO DOES NOT RESPECT OUR ONLY YOUR BILLIONARE UNDER 25 YEARS OF AGE NEEDS TO BE WOOPPED IF NOT SPUNKED. HASHEEM NEEDS TO START WOOPING MORE PEOPLE NOT ONLY TID. TYSON, USED TO DO THAT AND HE IS VERY RESPECTED IN HIS COUNTRY. IF YOU DON`T HAVE EDUCATION AND MONEY WHY DO MESS UP WITH BILLIONARES?
ReplyDeleteINAONEKANA WALE MNAOMSEMA NALITOLELA HAMUMJUI KWANINI ANAANDIKA HIVYO..NI MAKUSUDI TU NA NI STYLE YAKE YA UANDISHI KAMA ANAVYOFANYA MICHUZI...THAT'S THE BEST PART AND UNIQUENESS OF MICHUZI BLOG..KILA MTU ANA STYLE YAKE, ANGALIA AKINA CHIBIRITI, YOWELI MUSEVENI, JOHN MASHAKA, US BLOGGERS!!!
ReplyDelete