



(picha na Freddy Maro)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili neno Harambee lilikuwa halitumiki wakati wa mwalimu sasa cha ajabu tunawaiga wakenya kwani wao tokea wakati wa Jomo Kenyatta walikuwa wanalitumia( HARAMBEE-FUATA NYAYO) kwa hiyo sisi pia tunafuata nyayo za wakenya au tusemeje kwa hilo?
ReplyDeleteneno Harambee asili yake si Kenya bali India japokuwa waliamua kuliweka kwenye national emblem yao! jaribu kufanya uchunguzi na uache kukurupuka asili ya neno hilo inatokea India na wakina Gandhi so kama wao wameiga kwanini na wengine wasiige ikiwa ni neno lililoingizwa katika Kiswahili
ReplyDeleteMilioni 200 kwa watu kama hao nadhani ni kidogo sana. Ilitakiwa ipatikane walao kijisenti.
ReplyDeleteYaani mheshimiwa mwenyekiti wa chama changu cha ccm kwa hili umechemka. Katika nyakati zote utakazo kuwa madarakani pindi mungu akikujaalia utajutia uwepo wako katika tukio hili. Pamoja na nia yako njema ya kukichangia chama bado unashindwa kubaini kwamba IBILISI WA MTU NI MTU. Fanya ufanya cho na uende uendako tatizo la kilimanjaro kichama ni MWENYEKITI wa mkoa na wala sii majungu. Cloud huwa wanasema FIKIRIA MJOMBA UTABHAINI!!
ReplyDeletedu naungana na mdau hapo juu kwel milioni 200 ni kidogo sana kwa rais kuongoza harambee,milioni miambili kwa mbunge ndio sawasawa.
ReplyDeletewangemwalika Hasheem Thabeet angeweza kubust kidogo
ReplyDeleteHongera sana kwa kiasi kilichopatikana si haba. Maana tunaambiwa tushukuru kwa kidogo. Pia wadau mtambue pia hiyo ni harambee ya mkoa mzima. wabunge wa majimbo tofauti watachangiwa binafsi na washabiki wao hivyo watu wamebana kidogo ili kila mmoja ajue nani anasimama kwenye jimbo lake.
ReplyDeleteNi kweli huyo MWENYEKITI WA MKOA NDIO MCHAWI WA JIMBO LA MOSHI MJINI HALMASHAURI TAZAMENI
Rais wangu Kikwete,
ReplyDeletehiyo pesa ni ndogo sana kumng'oa Ndesamburo. Piga debe zaidi iongezwe. Lakini hii harambaee ilifanywa kichoyo, kwani watu wengi sana walipenda kuchangia na hawakualikwa. Halafu shughuli njema kama hii sio vyema kuipeleka Golden Tulip. Ukumbi wa kawaida kabisa ambao haukuhitaji kiingilio kiikubwa cha 50,000/- ulitosha. Walio na pesa siku hizi ni vijama wadogo na sio mabishoo wa mahoteli makubwa. This blander should not be repeated again.
YULE PROFESA ALIFUKUZWA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KWA KUJIHUSISHA NA SIASA MBONA HUYU KATIBU MKUU YUPO KUICHANGIA CCM HIYO SIYO SIASA?
ReplyDelete