DJ Venture akiwa na Hasheem ambaye yuko vekesheni bongo. Globu ya Jamii inamtakia DJ Venture Hepi Besdei ya Kuzaliwa njema na kumtakia makamuzi makali kila Jumamosi Mzalendo Pub a.k.a kiota cha Old Skul

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2010

    Mdau ulioenda sekunde saba hewani naomba namba yako ya simu nikupeebu
    Mentali
    Manzese

    ReplyDelete
  2. mkuu thanks umeonesha upendo wa hali ya juu sana kwangu na ndugu zangu pia na sio katika siku yangu ya kuzaliwa tu bali uko na sisi tangu mwanzo,shukran sana sana sanaa nakutakia mafanikio zaidi na zaidi mola atakuonezea,na nawakaribisha watu wote walioko au wale watakaokuwa dar weekend kila SATURDAY ngoma zinapigwa MZALENDO PUB katika FLAVANITE,karibu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    oya hashim si wakati wa vakesheni,ni playoff time ulitakiwe ubaki usa ufuatilie playoff ikusaidie kujiimarisha ktk msimu ujao,bado una safari ndefu kaka .ukiwasikiliza wabongo wasiojua nini nba watakupoteza,ni wakati wa kukaa chini na wakongwe wa nba kama mutombo,olajoan,p euwing na wengine wakusaidie uwe imara ktk michezo,kuchaguliwa 2nd pick ni responsiblity kubwa sana kwako,inabidi u proove ulistahili 2nd pick.level uliyofikia inabidi uwe karibu na maprofession wa basketball ,ni vizuri kurudi kutembea nyumbani lakini punguza.pia kubali kukosolewa wanaokueleza makosa yako ndio watu wema kwako,sio hao wanaokupeleka kwenye starehe,hizo hazina mwisho

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2010

    Ankali Mimi namtakia huyu TOLU likizo nzuri ila mwambie aache nyodo hii ni Bongo,

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2010

    mmeanza watu humu ndani!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2010

    sasa aache nyodo mlitaka awabebe?? watu bwana na nyie tafuteni umaarufu kivyenu ebo!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2010

    USHAURI WA BURE KWA HASHEEM. Hasheem kaka punguza matanuzi na ukae USA ufanye mazoezi. Bado hujafikia pale unapotakiwa. Wabongo wengine watajidai marafiki zako ila utakapo pigwa chini na MBA wao ndio wakwanza kukusema mbovu kuwa ulikuwa mzembe. Changamka wewe kaka mtu mzima sasa. Rudi USA ukafanye mazoezi na wakuu wa basketball. Hivi una personal trainer kweli wewe kaka? Kama huna nakushauri ujaribu kutafuta na ujinoe kweli. 2 pick itakupita kwa mwendo huu unaoenda. Starehe haziishi...mind about your future first. Ni ushauri wa bure tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2010

    kwendeni huko kwani nyie ndo mliomfikisha hapo alipo? mnaacha kutatua matatizo yenu mnajidi bla blaa hapa kwani mnajuaje ishu zake saidieni familia zenu zitoke kwenye dhiki mwacheni hasheem anajua anachokifanya na nyie sio washauri wake kwani anawalipa kiasi gani hadi mlete jazba zenu humu ndani chukueni time kule alah??

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2010

    Hasheem Thabit kula raha mwanangu achana na hayo wazushi na wachawi hawana mpango wowote. Bomoa maisha kadri unavyo weza na kumbuka kuvaa condom. Life is to damn short!

    Kuna wakati waku focus kwenye Game na wakati wa kula raha. Work hard and play harder.

    peace from your number # 1 fan,

    BLZ (USA)

    ReplyDelete
  10. John KashaijaMay 05, 2010

    Hayo mawani kwakweli hashim vua, hayakupendezi kabisaaa najua ni huumwi macho ila ni shoo tu. Na mnaomwambia arudi kufanya mazoezi, hebu mwacheni akianguka ni shida yake nyie hayawahusu kitu. Siku zingine msiwatie vichwa watu mpaka wafanye mabadiliko nyumbani. Dikembe mitombo anasaidia kwao si kawaida so mwenzetu anaona awe stareheni.

    Hongera kwa urefu hashim.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 05, 2010

    Jamani lazima muelewe kitu kimoja mtu anaetengeneza pesa kwenye michezo ni yule anaepata "endorsements" kama za NIke, adidas, cocacola na vinginevyo, manake wale wanakupa pesa ya wewe kuwatangazia vitu vyao, Hashim bado jeuri hiyo hajapata na hivi ambavyo hafanyi kitu anakaa tu pale na kukimbia kimbia kwenye uwanja ndio kabisaaaaa hatapata. Ila tumwacheni manake nilisikia eti ana body guards, africa nani atakuumiza wewe? eti na kiswahili umesahau? yote hayo juu ya nini? wakunga walisema asiyefunzwa na mamae ....

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 05, 2010

    Hasheem wee tanua bwana usisikie ya watu.ila ushauri wangu usiokose kwenda ku-retouch kule bagaheart.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 05, 2010

    huyu mujamaa mbona anavaaga sana mawani ya mademu?
    duh!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 05, 2010

    Hashim is gonna Do Hasheem. The rest of us we need to back off!! Mdau BLZ nasapoti ushauri wako kwa Hasheem kwamba asisahau kuvalia condom ktk yale mambo yake ya kutoa starehe..

    .."Wen it comes to sex, I'm similar to the Thriller in Manila" honeys call me Bigger the condom filler...(Notorius BIG)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...