watch the guy to the right of sean kignston's table. playing god? hahaha what if he had been sean himself? shame on you brother.....
more videos CLICK HERE
Orodha Kamili ya Tuzo hizo
Mwimbaji bora wa kike
Lady Jaydee
Mwimbani bora wa kiume
Banana Zoro
Albamu bora ya taarab
Daktari wa Mapenzi -Jahazi Mordern taarab
Wimbo Bora wa Taarab
Daktari wa Mapenzi – Jahazi Morden taarab
Wimbo bora wa Kiswahili
Mwana Dar es Salaam – African Stars Band
Albam bora ya Bendi
Mwana Dar es Salaam - African Stars Band
Wimbo bora wa R&B
Kamwambie -Diamond
Wimbo bora asili ya kitanzania
Nikipata nauli - Mrisho Mpoto
Wimbo bora wa Hip Hop
Stimu zimelipiwa - Joh Makini
Wimbo bora wa Reggae
Leo (Reggae remix) -AY
Wimbo bora wa Raga
Bwana misosi - Mungu yuko Bize
Rappa bora aw mwaka (Bendi)
Chokoraa
Msanii bora wa Hip-Hop
Chid Benzi
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Haturudi nyumba - Kidumu FT. Juliana
Mtunzi bora wa nyimbo
Mzee Yusuf
Mtayarishaji bora wa nyimbo
Lamar
Video bora ya muziki ya mwaka
C Pwaa – Problem
Wimbo bora wa Afro Pop
Pii pii (Missing my baby)
Msanii bora anayechipukia
Diamond
Wimbo bora wa kushirikiana
Nipigie -AT-Stara Thomas
Wimbo bora wa Mwaka
Kamwambie -Diamond
WALK OF FAME
1. ZAHIR ZORRO
2. CLOUDS FM
Banana si mwanamuziki na wala hastahili kushinda ile tunzo ya mwanamuziki bora wa kiume. Ebu tujiulize, Banana anaimba kitu gani zaidi ya kupiga kelele? Mnataka kuniambia kuwa Banana animba vizuri shinda Jose Mara ama Chaz Baba? TZ acheni ujinga jamani.
ReplyDeleteankal misupu siku nyengine ukiona watu kama hao kata makofi tu
ReplyDeletehao ndio wale wanaofurahia kuwa watumwa maana hawapendi kujifanya wao waafrika
ilitakiwa ajisikie raha sana kupata nafasi ya kujichanganya na nchi za asili yake ajisikie yupo nyumbani
lakini kwa ujinga wake anajiona kama yeye ndio zaidi shwain huyo
hongera sana kaka michuzi na wahusika wote wa blog hii kutufikishia kila kinachojili huko nyumbani.
hao wapiga picha na wana habari wangewekewa mpango maalum wa kupiga picha na wangepangiwa sehemu ya kusimama kwa chini
ReplyDeletempango kama huo wanavamia kiholela ni kutia aibu tu na mibegi yao utasema wasafiri
wangewekewa ukingo maalumu ambao wasitakiwe wauvuke.
Thanks Bro, imetulia nasi twaona huku.
ReplyDeleteSaid
kweli kabisa hawa wapiga picha (not offendin u Michuzi) wanaharibu atmosphere, ukiangalia tuzo za kimataifa huoni wapiga picha wakipita pita mbele ya wageni. hapo labda stage ingekuwa juu zaidi au watengewe sehemu maalum ambayo itakuwa rahisi wao kupiga picha bila kuwa kinga wageni (that my two shillings)
ReplyDeleteHiyp nyimbo ya AY sio Reggae,lwa nini mnataka kuwadanganya WaTanzania?Tanzania mna wanamuzi mahiri akbisa wa Reggae kama Jhikoman ambaye anajulikana kimataifa.Kwanini wasipewe zawadi watu kama hao na kuenziwa kwa mchango wao wa kuitangazisha Tanzania kwa upande wa Reggae kimataifa.Ndoto ya mchana,Sweden.
ReplyDeleteheheheheheheh! hapa sina mbavi michuzi!!!!1
ReplyDeletekama wabongo mnaiga mambo ya watu (wawest) ina kubidini mufanye kama wenyewe wafanyavyo.
michuzi huwezi kutembeaga ukumbi mzima na kijikamera chako cha kizembe na kuanza kubughuzi watu.
ukiwa kama "profeshino photographer" unatambua naongelea nini.
acha ubagili ,tafuta 400mm na utulie pembeni.
acha kuuza uzuri !!!!!
(NAJUAGA KAKA MICHUZI HII UTAITIA KAPUNI ,LAKINI NDIO HIVYO TENA TUNAWAKILISHA)
NILIFIKIRI NI MIMI NIMEONA HILO,HAO WAPIGA PICHA HAPO UKUMBINI NI KERO TUPU,HIVI WAANDAAJI WAMESHINDWA KUWEKA UTARATIBU,WAKO SHAGHALA BAGHALA KILA MAHALI WANAPITAPITA TU KWA KWELI NI EYE SORE
ReplyDeleteSi kila mtu anapenda kuonekama mwenye tv !!! na sio kama hivyo ulivyo kuwa una chukua mpangilio ulikuwa mbovu ndo maana jamaa akaona kero!! huyo kingston sasa akuimba ama?
ReplyDeletekwa kweli hao wapiga picha utaratibu wao ulikuwa ovyo kabisa hata vaa yao utadhani vibaka kwa nini huwa hakunaga utaratibu wa wapiga picha kwanza kabisa kuwa smart na mpangiliomzuri? wahusika next time pangeni mambo kwa uhakika sio kuboa watu .
ReplyDeletemichuzi naomba uirushe hii meseji hapana minya hope utakuwa umepiga kifungua kinywa
Yaaani uliyesema wapiga picha wanakuwa kama vibaka iyo ni kweli kabisa na sio wapiga picha tu hata waandishi wa habari sana sana hawa wa magazeti,sisi ofisini kwetu tulikuwa na mkutano wa kujumlisha nchi mbali mbali za Africa na nje ya africa tukawaalika waandishi wa habari jamani mbona hadi tuliona aibu,hawa waandishi walikuja wachafu kupita kiasi,wakinadada ndio usiseme ni wachafu nywele hata kuosha hazijaoshwa,wengine wamekuja na t-shirt ya matangazo mengine zimepauka na jeans,embu fikiria wewe unajua unakwenda kwenye mkutano wa hadhi fulani kwa nini uvae tena mdada t-shirt na jeans? tena zimepauka kwa nini,
ReplyDeleteKaka michuzi wewe uko kwenye industry iyo embu rekebisha watu wenzio wanaaibisha kwa kweli
nampongeza banana zoro, you desrve, and you are so creative, nilipenda show yako on sat, that was gud,
ReplyDeletehivi ni kweli jay dee nidio msichana mwenye kwimba bora ? nauliza maana kidigo si rahisi kwangu kukubali
tatu, hivi hii show ya kutoa zawadi haiwezekani kuwa inaonyesha kwenye tv live?
wanaotayarisha music systems na pa, muwe waangalifu show ya jms mlikuwa mnawaboa kundila sean, mzuka wamekuja nao vyombo shali.......punguzeni cheap things, hela mnapata ila mnabania
the show was gud, na ingekuwa best kama mneaarange bomba do ot hestinate issues.ANITHA LYIMO