Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAHAHAH KAMPATIA KWELI CAMERON HAHAHA NDIO ZAKE KUJIFANYA OH OH KITU FULANI NA FULANI.... Juma
ReplyDeleteTena huyo asipewe visa ya kwenda popote Afrika lol ha ha haa
ReplyDeletembona hakusema hana plan yeyote juu ya africa bali kuendelea kuwanyonya
ReplyDeleteHii ni kama obama alivyochaguliwa, sie bongo na kenya tukavaa ma t-shirts na nini, kwa kutegemea obama akiingia madarakani eti tutapata labda misaada na mikopo zaidi.
ReplyDeleteHawa wenzetu wa ughaibuni sio kama sisi, wao, ni nyumbani kwanza, halafu ndo mapenzi na msaada unatoka kwenda kusaidia wengine.
Maendeleo yetu na shida zetu yatatatuliwa na sie wenyewe, na kodi na jasho letu, na sio na hawa jamaa.
Hata waafrika mkisikia sijui kuna mbunge au rais mwenye asili ya kitanzania marekani au uingereza, msianze kuota ndoto, kwao sawa bongo ni asili, ila hapo kwao kutakua kwa kwanza katika maamuzi yote.
Reporter: "Mr Prime Minister, What's your policy on africa?"
ReplyDeletePM: " Ehh.. To withdraw my name from any use in Africa"
Reporter : " What do you mean?"
PM: " Well, there is a country using my name in that continent,she has to change it to indomitable Lion instead."
Reporter: "What if they refuse to do so?"
PM: " Simple, they will receive No aid from UK." LOL