
Juma Nade wa timu ya mwanza Heroes (kushoto) akidhibitiwa na Alphonce Donald wa Shinyanga wakati wa mashindano ya Kombe la Taifa la Kilimanjaro ‘Kili Taifa Cup’ yaliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, jana. Mwanza ilifuzu kucheza robo fainali ya mashindano hayo baada ya kushinda magoli 2-0 dhidi ya Shinyanga.

Mlinda mlango wa timu ya Shinyanga, Emmanuel Kingu akihamisha hatari langoni kwake huku John Boscow wa Mwanza akimzonga wakati wa mashindano ya Kombe la Taifa la Kilimanjaro ‘Kili Taifa Cup’ yaliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mwanza ilifuzu kucheza robo fainali ya mashindano hayo baada ya kushinda magoli 2-0 dhidi ya Shinyanga

Alphonce Donald wa Shinyanga (mbele) akimdhibiti John Bosco wa Mwanza heroes wakati wa mashindano ya Kombe la Taifa la Kilimanjaro ‘Kili Taifa Cup’ yaliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mwanza ilifuzu kucheza robo fainali ya mashindano hayo baada ya kushinda magoli 2-0 dhidi ya Shinyanga. Picha zote na Executive Solutions
Timu zilizofuzu robo fainali moja kwa moja na ambao watachuana Dar ni Arusha,
Iringa, Singida, Mwanza, Ilala na Temeke pamoja na Mara na Lindi ambao ni best losers.
mwanza oo mwanza,mwanza mji mzuri ooo,mwanza hatutoki mwanzaaa,mwanza tumefika tenaa!!
ReplyDeletekitega uchumi mwanza ni mahali sahihi,na tubanane mwanza!!
hongereni vijana mwanza heroes
Uwanja umejaa washibiki mpaka umetapika, Shida nini haswa-kiigilio kikubwa, matatizo ya miundo mbinu(usafiri)au mapenzi yenyewe ndo hivyo basi.
ReplyDelete