



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi, hichi chuo si bado kipya? Mbona panaonekana pameshachakaa namna hii? Au ni ujenzi wa namna gani? Au majengo yanayotumika ya zamani?
ReplyDeleteHalafu na hiyo podium imewekwa nembo ya chuo kienyeji sana jamani!! Hayo ni mambo ya miaka ya 80! Kwanini wasitafute kibao cha chuma aina ya brass?
Halafu, mkutano ulikuwa katika mazingira ya kisomi mbona watu wamevaa hovyo tu?
I am so disappointed!
Anon May 15, 01:09,
ReplyDeleteTambaaa zako huko. Haijalishi.
dah. viti vya bati/chuma?
ReplyDeleteUsomi siyo kuvaa suti na tai, pia hata majengo ya vyuo vikongwe Afrika Mashariki kama UDSM na Makerere Uganda wana majengo na vitu chakavu.
ReplyDeleteElimu hupatikana hata chini ya mwembe au kijiweni bora katika kikundi hicho wawepo watu kama kina 'Socrates'(mwanazuoni maarufu wa Kigiriki)/Prof. Shivji/Prof. Babu/Mwl.Nyerere au watoaji mada makini na wasikilizaji makini wenye maswali ya kujenga na kukuza upeo wa kuelewa mazingira yao kiuchumu, kisiasa na kijamii.
Mdau
Jijini London.
we mpemba mtoa maoni hapo juu unayeish uk kwa kisingizio cha ukimbizi wa kisiasa hivi huoni baiskeli mpaka lecture room ina maana nje wataiba
ReplyDeletedu uswahili umepitiliza
We Mdau Jijini London chizi nini? Mbona vyuo vya nchi za Magharibi navyo ni vikongwe lakini hakuna uchakavu kama huu?
ReplyDeleteSawa, usomi sio uvaaji lakini kuna umuhimu wa kuvaa 'smart' katika matukio ya kisomi. Mbona Prof Shivji hajavaa na wala huwa havai suti na tai lakini ametokea 'smart' na kaunda suti yake
Anon May 15, 08:18,
ReplyDeleteTambaaa Zako Huko. Tuache na Zanzibar yetu. Haihusu.
nakubaliana na mdau wa kwanza. ubaya wapemba hawapendi kurekebishwa ndio maana mtabaki nyuma kiimaendeleo...hata kama ni uswahili bora uwe mordern but sio uchafu kama huu.. mbona wenzenu oman, qatar, uae wana culture zao za kiarabu but in a mordern dimension... no hate to zanzibaris at all but learn to change and live according to time. na muungano udumu milele... wabara ingieni zanzibar muinvest!!
ReplyDeleteNaomba kutoa usahihisho. prof shivji hafanyi kazi kitivo cha sheria tena, ni mwenyekiti wa 'mwalimu nyerere professorial chair in pan-african studies' hiki kigoda kiko chuo kikuu cha dar es salaam, na kinajitegemea
ReplyDelete