Professor Issa Shivji speaks at a public lecture on 'Coalition governments in developing countries'. The lecture was held yesterday in the evening at the State University of Zanzibar TAKILUKI Hall. Professor Shivji is a prominent academician currently working with the Faculty of Law, University of Dar es Salaam.One of the participants , Advocate Salum Toufik contributes his thoughts on the topic. A cross sesction of participants Prof. Shivji fields questions from the Press after the lecture.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mdau, BloomsburyMay 15, 2010

    Hivi, hichi chuo si bado kipya? Mbona panaonekana pameshachakaa namna hii? Au ni ujenzi wa namna gani? Au majengo yanayotumika ya zamani?

    Halafu na hiyo podium imewekwa nembo ya chuo kienyeji sana jamani!! Hayo ni mambo ya miaka ya 80! Kwanini wasitafute kibao cha chuma aina ya brass?

    Halafu, mkutano ulikuwa katika mazingira ya kisomi mbona watu wamevaa hovyo tu?

    I am so disappointed!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2010

    Anon May 15, 01:09,

    Tambaaa zako huko. Haijalishi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2010

    dah. viti vya bati/chuma?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2010

    Usomi siyo kuvaa suti na tai, pia hata majengo ya vyuo vikongwe Afrika Mashariki kama UDSM na Makerere Uganda wana majengo na vitu chakavu.

    Elimu hupatikana hata chini ya mwembe au kijiweni bora katika kikundi hicho wawepo watu kama kina 'Socrates'(mwanazuoni maarufu wa Kigiriki)/Prof. Shivji/Prof. Babu/Mwl.Nyerere au watoaji mada makini na wasikilizaji makini wenye maswali ya kujenga na kukuza upeo wa kuelewa mazingira yao kiuchumu, kisiasa na kijamii.

    Mdau
    Jijini London.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2010

    we mpemba mtoa maoni hapo juu unayeish uk kwa kisingizio cha ukimbizi wa kisiasa hivi huoni baiskeli mpaka lecture room ina maana nje wataiba
    du uswahili umepitiliza

    ReplyDelete
  6. Mdau, BloomsburyMay 15, 2010

    We Mdau Jijini London chizi nini? Mbona vyuo vya nchi za Magharibi navyo ni vikongwe lakini hakuna uchakavu kama huu?

    Sawa, usomi sio uvaaji lakini kuna umuhimu wa kuvaa 'smart' katika matukio ya kisomi. Mbona Prof Shivji hajavaa na wala huwa havai suti na tai lakini ametokea 'smart' na kaunda suti yake

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2010

    Anon May 15, 08:18,

    Tambaaa Zako Huko. Tuache na Zanzibar yetu. Haihusu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2010

    nakubaliana na mdau wa kwanza. ubaya wapemba hawapendi kurekebishwa ndio maana mtabaki nyuma kiimaendeleo...hata kama ni uswahili bora uwe mordern but sio uchafu kama huu.. mbona wenzenu oman, qatar, uae wana culture zao za kiarabu but in a mordern dimension... no hate to zanzibaris at all but learn to change and live according to time. na muungano udumu milele... wabara ingieni zanzibar muinvest!!

    ReplyDelete
  9. Naomba kutoa usahihisho. prof shivji hafanyi kazi kitivo cha sheria tena, ni mwenyekiti wa 'mwalimu nyerere professorial chair in pan-african studies' hiki kigoda kiko chuo kikuu cha dar es salaam, na kinajitegemea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...