Ankal salam?
ningependa kuwataarifu wadau wote kuhusu video mpya kuhusia promosheni ya msanii Ally Kiba Ft Mkazuzu na Biggie Ayoub iko tayari na ndio hiyo hapo juu ama bofya hapo chini:
http://www.youtube.com/watch?v=g5t5RXoQVfc
video hii imetoka kwa hisani ya bongo deejayz ikishirikiana na Urban Pulse kwa ajiili ya promosheni ya Lovely Gamble itakayo zinduliwa
hapa mjini kusoma tarehe 29.05.10 hii ni kampeni ya kuchangia watoto yatima kutoka Tanzania Mitindo House na Uongozi wa TA Reading.
Karibuni wote tuendeleze Taifa letu na kuitangaza Tanzania Ughaibuni.
http://www.wix.com/effort111/urbanpulse-tmh
Mdau
Frank Eyembe
Urban Pulse
jamani ni swali ambalo nimekaa na kulifikiria sana mimi nilikuwa mmoja wawalioudhuria usiku huo wa alikiba reading lakini sikuwa na fahamu kama nilikuwa part ya hiyo movie sasa nikidai haki yangu ni tanyimwa hivi ndivyo tulivyo wa bongo tunafanya vitu bila kufikili.
ReplyDeletesio wote tuna penda kuonekana kwenye public sababu ni nyingi naweza kuwa nimeondoka nyumbani bila kuaga au kazi yangu hainiruhusu kuonekana ovyoovyo video kama hizi zina weza kuweka ushahidi tosha,hao mnaowaiga wote wana kuwa na madancer ambao wanalipwa na waudhuria wote wanakua wamekwisha jua kuna video shoot. onyo tu kwa mapromoter