Leo Ijumaa, 14/05/2010; Mashindano ya kuwatafuta wanyange bora na bomba ya Vodacom Miss Tanzania hatua za awali yanaendelea tena leo.
Shindano la Vodacom Miss IFM 2010 litafanyikia pale Bwalo la Maafisa wa Polisi (yaani Police Officers’ Mess) Masaki DSM; wakati shindano la Vodacom Miss Bagamoyo 2010 litafanyikia pale Tasuba Bagamoyo na lile shindano la kumtafuta Vodacom Miss Kurasini 2010 litafanyikia pale Equator Grill Kurasini DSM na shindano la kumtafuta mnyange wa Vodacom Miss Dodoma 2010 litafanyikia pale Kilimani Hotel Dodoma.
Tujumuike pamoja na Vodacom Tanzania katika kuwatafuta wanyange bora na bomba watakaotuwakilisha kwenye fainali za Vodacom Miss Tanzania baadaye mwaka huu.
Furahia pamoja.
Vodacom Tanzania

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...