Bi Sofia Zakaria na nduguze, Siwema Zakaria na Kashidye Zakaria wakisililiza maelez juu ya kazi na majukumu ya Mamlaka ya Elimu Tanzania kutoka kwa Afisa Uhamasishaji na ukuzaji Rasilimali wa TEA Bwana Godfrey Massawe

Wanafunzi kutoka shule ya Msingi Nyamanoro wakisoma jarida la TEA walipotembelea banda la TEA katika maonesho ya wiki ya utumishi viwanja nya Kirumba Mwanza, Mkaguzi Mkuu wa ndani wa TEA Bi Fatuma Chillo nyuma yao akiwaongoza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...