

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nimemtembelea kinyaia, ila kuna comment naomba umwambie manake sikuweza kuona mahala pa kuandika comment. Blog yake ni nzuri, ila naona mambo ni yale yale tu hakuna jipya, picha zinafanana sana wanablog wa TZ, ila mchuzi wewe unajitahidi, pia mwambie hizo rangi za maandishi yake kweli hayasomeki vizuri aangalie rangi nzuri ambazo zitasomeka kirahisi. ni hayo tu.kazi njema
ReplyDeletebig up sana ben,tujazie visa vya kitaa kino,babu
ReplyDeleteyeah powa sana mambo kama hayo kuna picha ya christian Ronaldo akavaa chupi na swali alilouliza du la kiuchoko zi haya wadau nendeni mka mpe majibu hahahah
ReplyDeleteKinyaiya weka place ya sisi wadau walengwa tutoe maoni. ablog yako imejaa wewe tu. Acha kujishoo,au kama umeamua kuuzia sura humu poa.
ReplyDeleteEbwana kinyaiya blog yako sio mbaya lakini tatizo fanya iwe interest zaidi sio blog nzima unajifagilia mwenyewe.weka mambo muhimu ya kijamii na kiburadini na sio ubishoo mwingi na kujionyesha mwenyewe inakuwa aina maana.
ReplyDelete