Afisa wa benki ya Maendeleo Africa Mashariki (EADB) Bi Elizabeth Rugenga akimkabidhi madawati Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga.
baadhi ya wafanyakazi wa EADB wakiwa pamoja na walimu wa shule hiyo na wageni waalikwa pamoja na wanafunzi Mkuranga baada ya makabidhiano ya madawati. wanafunzi wa Mkuranga wakiwa wamekaa katika Madawati yaliyotolewa na Benki ya Maendeleo Africa Mashariki (EADB).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2010

    ahsante brother Michuzi, ninaikubali blog ya jamii kwa habari. HIZO PICHA MBILI ZA WANAFUNZI WAKIPEWA MADAWATI NATAKA KUZIKUZA ILA HAZI-RESPOND, NAOMBA NISAIDIE KWA HILO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2010

    Bro pole kwa kazi nzuri hivi kweli tutatekeleza lengo la MDG 2015 kama tunategemea msaada mpaka wa madawati ni bora turejee katika kujitegemea sisi wenyewe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2010

    ni aibu sana utadhani nchi haina viongozi hao wabunge wa maeneo hayo wanafanya nini? then wanategemea kwenda kuomba kura kwa wazazi wa hao wanafunzi kweli hii haiingii kwenye oblangata!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...