KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote
5.petroli,matunda,nazi
6.vitumbua,mitumba grade one
7.supu ya utumbo,mabati,vocha
8.mtego wa panya,pembejeo
9.makabati ya nguo,kompyuta
10.juisi na mbogamboga
11.mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12.leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu

KARIBUNI!!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2010

    hahahahahahha kaka Mithupu umenivunja mavu nafwa kwakicheko
    yani hiyo inaitwa msetoo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2010

    Huo ni uchokozi tuuu, mtabakia kusema wenzako wanaendelea... mnabaki kusema wanaiba, wanaiba wapi... akili inafanya kazi
    Poleni sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2010

    Amakweli, Hii ndio supermarket yenywe. Forget about Mlimani City.... Keep it up Mangi...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2010

    tukiomba mtutangazie vitu vya maana tupate ushauri mnabania ila ujinga kama huu mnatoa,ndio nini sasa,mimi sijafurahia chochote na wala hakuna kitu najifunza

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2010

    Mbavu zangu weeeeeeeeeeeeeeeeee, hahahahahahhahahahahhahahahahahahah.
    Jamani wengine tumepiga desh mchana mtatu-tapisha upepo badala ya iyo pilau na msumari juu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2010

    aisee meku bwashehe kiboko nimecheka hadi nimepaliwa supu ya utumbo mabati na vocha

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2010

    umesahau viatu, kandambili za mkapa a.k.a kandambili za O.K.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 09, 2010

    yaani nimecheka mapaka nimemaliza ya kesho. wee anon wa 08,07:14:00 PM acha kubisha haisaidii sana. hatupo enzi zileee.. ambapo hata raisi hamjui kama amegombana na mkewe. hao jamaa ni wezi wazuri tu sina haja ya kusema mengi hapa sio mahala pake... thanks for the nice one mich.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 09, 2010

    Nilikuwa sijacheka tokea asubuhi! lkn kwa hili tangazo la biashara mbavu sina! kaka mithupu ulijuaje km kuna watu hatukucheka tokea asb? athante

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 09, 2010

    Anony hapo vp wewe? SO mean kwa vya watu! Cheka ufarijike. Busara hadi kaburini?
    Sijafurahi-Who cares?
    Kujifunza-Nenda shule ama anzisha blog yako
    Ya maana-Toa wewe kwenye blog yako
    Hii ni blog ya jamii acha kama ilivyo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 09, 2010

    ZE Mbavu Zanguuuuu!! Wabishi wapo tu! Walalamishi wapo tu! Anon wa 2, 4..Acheni kuwa serious kiivyo, take it easy, lough at a joke and Move on! Mtazeeka siku si zenu na mastress yenu ya kujitakia!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 09, 2010

    Ha ha haaa Michuzi asante.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 09, 2010

    jamaniiiiiiiiii kweli mbavu sina aliyebuni hii anapaswa kuwa kwenye the commed

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 09, 2010

    nimecheka saana haki ya nani mangi kiboko duh

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 09, 2010

    wee cheka siye twaendelea kule rombo hii inasaidia sana kupunguza safari za kwenda Moshi mjini...ingawaje price utakayolipa hapo usishangae na roho yako....hujaona ONE STOP SHOP before? Hehehhe mimi nimeshaona duka wameandika mlangoni if u don't c ask. we have everything we just run out of space..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...